raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Ila nilichogundua hapa wadada wanabagua
Yaani ni machinga na bodaboda tu ndio wanalalamikiwa hapa
Kuna wengine naamini wanaendaga sehemu za starehe na wanakumbana na dhahma kama hizi sema kule sabb mtu anakuwa ameshika remy martin na funguo ziko kiunoni basi kimyaaaaaaaa 😁