Machinga waanza kunyanyaswa rasmi hawatakiwi huu si wakati wa wanyonge

Machinga na mpango miji ni vitu viwili tofauti...mitaa ya Arusha Barabara nyingi wamezifunga Machinga....Daa Mgambo wakirudi nitafurahi sana ili kuweka Jiji safi !!
 
Mkuu Kuna usemi usemao 'Ukiona mtu anammis marehemu ujue yupo njia moja kumfata' ila ikitokea ukamfata ( sikuombei) mwambie mabadliko chanya uyaonayo,
Walioporwa haki zao wanarejeshewa, vijana wasio na ajira wana matumaini makubwa na Mama SSH, Wawekezaji wanaanza kurejea mmoja baada ya mwingine na waliotaka kuamsha wameahirisha, wabunge wanaodemka wanafundwa, na hayo yote ni ndan ya mwez mmoja, kwa hyo ukamwambie tuko salama kuliko nyakat zake.
Kwa hyo relux mkuu, pia tambua kuwa Mama mwenye taifa lake yupo na kasema usimlinganishe na Hayati!
 
Umesema ni Eneo la Shule ya Sekondari. Kwenda kufanya biashara eneo la shule ni halali kweli?
 
Mbona picha moja umejrudia mara mia,je nawewe chinga ,tuanzie hapo kwanza.
 
Hawa wapuuzi wasafishwe nchi nzima maana wanakera, kkoo hakupitiki kwa ajiri yao! Mbaya zaidi wanapanga bidhaa mbele ya maduka ya watu.
 
Watanyanyasa machinga woote, ila sio wamasai sijui hua ni kwa nini?
 
Wachapwe na viboko kabisa hawa . Ni wasumbufu Mimi siwapendi machinga wanasababisha uchafu
 
Mtu akijiita Rais wa wanyonge, maana yake atahakikisha mnaendelea kuwa wanyonge ili aendelee kuwatawala maana usipokuwa mnyonge, yeye hawi Rais wako tena.
 
Mzee aliwaandaa hawa awatumie kwenye ule mpango wake wa "umilele"
 
Safi sana waendelee Kuvunja vibanda kazi nzuri
 
2025 Watampigia kura jiwe na mtetezi mwingine wa wanyonge.
Machinga hawa wanatakiwa wawe sehemu sahihi kulingana na level yao , unakuta mtu analipa frem laki Saba , mbele yake kuna machinga analipa 50000 , af anachekelea na kujiita mpambanaji... ..Fukuza kabisa hao watu waende sehemu sahihi ya umachinga
 
Solution ya muda mrefu ni kuifanya nchi iwe na uwekezaji mkubwa wa viwanda ili wamachinga, boda boda na mama ntilie wapungue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…