Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao wa mwanza si ndo waliambiwaga wasiguswe? sasaivi tandika migongo yao wafuate sheria na taratibu sasa.Hasa huku Mwanza machinga wameziba barabara zote, serikali tiifu imulike na huku Mwanza.
Mention just two names of persons whom you think are strongYop!! We do have strong persons already,now we need strong institution!! Got it?
waondolewe hakuna namnaHasa huku Mwanza machinga wameziba barabara zote, serikali tiifu imulike na huku Mwanza.
Average mind always discuss people!!Mbowe alipoangushwa na konyagi nyumbani kwa Joyce Mkuya alikanusha?
Sasa nchi lazima irudi kwenye sheria na sio matamko ya mtu mmoja!!na zoezi hilo naomba liende na dar kwani ndio baba lao kwa kero hiyo, yaani service road zote ni wao mwenye haki ya kupita kagongwe na magari huko!!!na aliwatumia hao kama kichaka chake cha wanyonge!!!mtu unawekewa biashara mbele ya duka lako, ukisema kosa!!Hili ni Eneo la Shule ya Sekondari Mabati Mjini Njombe ambako Meza za Wafanyabiashara wadogo (#Machinga) zimetupwa na Mgambo wa Halmashauri ya Mji huku wafanyabiashara hao wakitakiwa kuondoka pembezoni mwa Barabara na wahamie katika Soko la Dodoma.
Maskini baba aliwambia kufanya biashara popote pale jamani.
Haya mengine ni ya kutazama vyema jamani Mgambo tena wanarudi? jamani Rafiki wawamachinga Dah!!!! Leo Jpm angekuwepo Huki sijui mkuu wa MKOA mkuu wa wilaya MKURUGENZI wa halmashauri ANGEKUWA na hali gani aisee.
Kama uliona watu wanalia wanatandika nguo zao ili tu gari iliyobeba mwili wa Magufuli ipite juu ya nguo zao. Kitendo kile kilikuwa na maana ya pekee. Hiki ndicho hasa kilichokuwa #kikiwaliza msibani watanzania walijua siku za mateso #zinakaribia na sasa mateso ndiyo hayo.
#PUMZIKA kwa amani Magufuli wetu dah. Nimeandika hii msg nimehisi kutokwa na MACHOZI. Unavunjiwa banda lako ambalo ulikuwa umeweka nguvu zako huko kwa ajili ya watoto na maisha yaendelee.
KWELI ULE USEMI PAKA AKITOKA PANYA HUTAWALA NIMEAMINI SASA..
View attachment 1759457