Machinga waanza kunyanyaswa rasmi hawatakiwi huu si wakati wa wanyonge

Soko la Ndugai plale Dodoma halina watu kisa watu wote wako barabarani no wakati sasa nchi iwe nchi
 
Baba JPM aliwadekeza kupitiliza ndio maana mnaona kuwa wanadekezwa wakati ndivyo ilivyopasa kuwa.

Vv
 
Hasa huku Mwanza machinga wameziba barabara zote, serikali tiifu imulike na huku Mwanza.
hao wa mwanza si ndo waliambiwaga wasiguswe? sasaivi tandika migongo yao wafuate sheria na taratibu sasa.
 
Yaani unapanga biashara kwenye barabara ukiondolewa unanyanyaswa?
 
mtazamo wangu...

serikali ya Tanzania inajichanganya sana kwenye swala la kuwa socialist ama capitalist state!

Mnachanganya wananchi! majukwani mnasema sisi masikini tujikakamue tutoke baada ya muda mfupi mmegeuka mnawakumbatia 'makatipalisti'. kigeugeu chenu kina sababisha 'sintofahamu' kwa wananchi wenu.

hasira zao kwa sasa kama percentage zipo 9999% tukizingatia kuanzia uhuru wa nchi!
 
Sasa nchi lazima irudi kwenye sheria na sio matamko ya mtu mmoja!!na zoezi hilo naomba liende na dar kwani ndio baba lao kwa kero hiyo, yaani service road zote ni wao mwenye haki ya kupita kagongwe na magari huko!!!na aliwatumia hao kama kichaka chake cha wanyonge!!!mtu unawekewa biashara mbele ya duka lako, ukisema kosa!!
 
Mwandazake alitaka kura zao tu na kuwatumia kisiasa tu.Angekuwa anawapenda angewaboreshea mazingira mazuri ya kufanya biashara
 
Biashara ufanyika sokoni na sio barabara ni kwa ajili ya magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…