Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

Hao wamachinga wakati wanabebwa na Serikali hiyohiyo walikuwa wanakata viuno, hawakuwa na time na wapinzani. Sasa wamegeukwa wanalialia. Upinzani hauna kitu cha kujifunza kutoka kwa hao wahuni.

Serikali inawaogopa machinga na boda boda. Wanachotaka wanapata. Hao wakitaka mchakato wa katiba mpya uanze kesho unaaanza.

Kwanini inawaogopa? Kwanini serikali haituogopi sisi?

Yet hatuna cha kujifunza?

Waungwana kujifunza hata kwa chizi hakuna maana ya kuchukua yote.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Serikali inawaogopa machinga na boda boda. Wanachotaka wanapata. Hao wakitaka mchakato wa katiba mpya uanze kesho unaaanza.

Kwanini inawaogopa? Kwanini serikali haituogopi sisi?

Yet hatuna cha kujifunza?

Waungwana kujifunza hata kwa chizi hakuna maana ya kuchukua yote.

Au nasema uongo ndugu yangu?
Machinga ni ng'ombe wa maziwa wa CCM; CDM ni competitor wa maziwa. Can't you see a difference? Wewe upo tayari Ng'ombe wako wa maziwa afe?! Maziwa utapata wapi?
 
Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi:

View attachment 1995245

Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi.

Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025?

Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri?

Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini kuwafanya watu waone haja ya kujiajiri zaidi na kutoka serikalini?

Hili likiwahusu vigogo wote wakiwamo Rais, Mawaziri, wabunge nk haliwezi kusaidia kupunguza makali kwenye jamii?

Makamanda hatuna la kujifunza kutoka kwa washupavu hawa?

Haki hupiganiwa na kupiganiwa kwake kwenye tija ndiyo huku katika mazingira tuliyomo.

"Shujaa ni yule anayefia kwenye uwanja wa kivita." Asema Chinga.

Angalizo:

Mfano wa gharama za shughuli kama hizi:

View attachment 1995255

Zisingeweza kutumika kwa tija zaidi?
Kweli mapenzi ya BINTI KIZIWI HAYA SIJUI KAMA MIIMILI HAIJAONGEA KWA AJILI YA SPECIFICATION ZA MIILI YA WATU LAANA NUKSI (WANACHAFUA MIJI NA KUTUUZIA VITU VILIVYOOZA NA WANA MAPENZI YA KUFA NA KUOZA - WATOTO WAZURI HAWATAKIWI KUFIKIRI HATA SALAMU)
 
Serikali inawaogopa machinga na boda boda. Wanachotaka wanapata. Hao wakitaka mchakato wa katiba mpya uanze kesho unaaanza.

Kwanini inawaogopa? Kwanini serikali haituogopi sisi?

Yet hatuna cha kujifunza?

Waungwana kujifunza hata kwa chizi hakuna maana ya kuchukua yote.

Au nasema uongo ndugu yangu?
Kweli mapenzi ya BINTI KIZIWI HAYA SIJUI KAMA MIIMILI HAIJAONGEA KWA AJILI YA SPECIFICATION ZA MIILI YA WATU LAANA NUKSI (WANACHAFUA MIJI NA KUTUUZIA VITU VILIVYOOZA NA WANA MAPENZI YA KUFA NA KUOZA - WATOTO WAZURI HAWATAKIWI KUFIKIRI HATA SALAMU HOYEE)
 
Wewe si Messiah. Pole kwa kudhani niko Lusahunga.

Niko napiga jaramba hapa nikimkodolea macho Bwana Mnyika. Akikaa hovyo tunapiga coup tunachukua chama. Believe me Mwamba, Adamoo, Bwire, Ling'wenya na Lijenje (popote alipo) watashangilia.

Sina nia ya kukamata nchi ila nikikamata siwezi kuwa zuzu kama nduguzo:

View attachment 1995797

1. Kazi serikalini na mashirika ya umma mtu atafanya kwa contract miaka minne minne.
2. Mtu anaweza ku renew mara moja tu.
3. Watu wote watalipa kodi stahiki na kwa usawa.
4. Mishahara serikalini na taasisi zote za serikali itakuwa chini kabisa kuwashawishi watu kwenda kufanya shughuli zao.
5. Serikali itakuwa na Mawaziri wasiozidi 15.
6. Idadi ya mikoa na wilaya nitaipunguza kubakia kama 7 yenye wilaya kama 4 kila mmoja.
7. Hakutakuwa na ma RAS wala wakurugenzi.
8. Wabunge itakuwa ni mmoja kwa wilaya.
9. Nk

Maboresho ni lukuki kupunguza matumizi na kuwekeza katika kuweka fursa za kujua uchumi na kuongoza ajira.

Hatuna vya kujifunza kwa wengine?

View attachment 1995804

Ninakazia siwezi kuwa zuzu:

View attachment 1995806

Kwa hakika nitafanya si chini ya 100 times kuliko hawa.
uko nje ya mfumo mkuu ndio maana unaongea kiurahisi, siku ukabidhiwe nchi kila kijiji na kila idara inakuskiliza wewe ndio utakapokufa kwa presha kabla hata hujatekeleza ilani..
 
Back
Top Bottom