Wewe si Messiah. Pole kwa kudhani niko Lusahunga.
Niko napiga jaramba hapa nikimkodolea macho Bwana Mnyika. Akikaa hovyo tunapiga coup tunachukua chama. Believe me Mwamba, Adamoo, Bwire, Ling'wenya na Lijenje (popote alipo) watashangilia.
Sina nia ya kukamata nchi ila nikikamata siwezi kuwa zuzu kama nduguzo:
View attachment 1995797
1. Kazi serikalini na mashirika ya umma mtu atafanya kwa contract miaka minne minne.
2. Mtu anaweza ku renew mara moja tu.
3. Watu wote watalipa kodi stahiki na kwa usawa.
4. Mishahara serikalini na taasisi zote za serikali itakuwa chini kabisa kuwashawishi watu kwenda kufanya shughuli zao.
5. Serikali itakuwa na Mawaziri wasiozidi 15.
6. Idadi ya mikoa na wilaya nitaipunguza kubakia kama 7 yenye wilaya kama 4 kila mmoja.
7. Hakutakuwa na ma RAS wala wakurugenzi.
8. Wabunge itakuwa ni mmoja kwa wilaya.
9. Nk
Maboresho ni lukuki kupunguza matumizi na kuwekeza katika kuweka fursa za kujua uchumi na kuongoza ajira.
Hatuna vya kujifunza kwa wengine?
View attachment 1995804
Ninakazia siwezi kuwa zuzu:
View attachment 1995806
Kwa hakika nitafanya si chini ya 100 times kuliko hawa.