GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
WanaKAWE wanaenda na GWAJIMA full stop.Kama wewe Lumumba buku 7 umeliona hilo basi Mdee anashinda Asubui.
Ninachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.
Ujinga huo una baraka ya Vikao Vyenu?Ninachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.
CCM wakitaka washindwe asubuhi basi wampitishe huyu GwajimaNinachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.
Gwajima anapita asubuhi kabisa.CCM wakitaka washindwe asubuhi basi wampitishe huyu Gwajima
Labda Gwajima mwingine unayemjua weweGwajima anapita asubuhi kabisa.
Tuombe uzima tu. Ndo cha muhimu.Labda Gwajima mwingine unayemjua wewe
Sidhani kama jimbo la Kawe unalifahamu kuliko mimi.Tuombe uzima tu. Ndo cha muhimu.
Mkuu tatizo siyo kulifahamu Jimbo likoje! Tatizo ni nani atayetangazwa kuwa mbunge? Mdee anaweza kushinda lakini Gwaji akatangazwa.Sidhani kama jimbo la Kawe unalifahamu kuliko mimi.
Kidukulu nae aliwahi kusema kitu hicho lakini naona hawataki kusikia.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )
Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers )
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Francis Nanai, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kawe. ( nipashetz )
Kama kuna Jimbo ambalo CCM isipojipanga na kuwa nalo makini wanalikosa ni la Kawe kutokana na ' Mpasuko ' mkubwa sana uliopo kwa sasa.
Nani kakuambia Kawe wanaishi misukule?Gwajima anapita asubuhi kabisa.
Mwambie Mdee atafute kazi nyingine tu hatutaki hata kumsikia.Kama wewe Lumumba buku 7 umeliona hilo basi Mdee anashinda Asubui.