GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )
Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers )
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Francis Nanai, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kawe. ( nipashetz )
Kama kuna Jimbo ambalo CCM isipojipanga na kuwa nalo makini wanalikosa ni la Kawe kutokana na ' Mpasuko ' mkubwa sana uliopo kwa sasa.