Uchaguzi 2020 Macho na Masikio yangu katika Uchaguzi Mkuu huu Ujao yatajikita zaidi katika Jimbo la Kawe kwa Ubunge na Udiwani kupitia CCM

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )

Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers )

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Francis Nanai, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kawe. ( nipashetz )

Kama kuna Jimbo ambalo CCM isipojipanga na kuwa nalo makini wanalikosa ni la Kawe kutokana na ' Mpasuko ' mkubwa sana uliopo kwa sasa.
 
Ninachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.
 
Kuku weupe na nazi zinauzwa sana safari hii..

Waganga wa kienyeji uchaguzi huu watapiga hela sana dah, ngoja nimlete swaiba wangu mmoja kutoka Nigeria niwe dalali, msimu wa hela huu makafala yataanza siku si nyingi whatch out..
 
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )

Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers )

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Francis Nanai, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kawe. ( nipashetz )

Kama kuna Jimbo ambalo CCM isipojipanga na kuwa nalo makini wanalikosa ni la Kawe kutokana na ' Mpasuko ' mkubwa sana uliopo kwa sasa.
Kidukulu nae aliwahi kusema kitu hicho lakini naona hawataki kusikia.
 
Back
Top Bottom