Macho yangu yananidanganya?

Watanzania chochote utakachowahamasish, hasa kisichotumia mtaji, wanahamasika. Hata aje Idd Amini dada leo au Hitler na itangazwe na ihamasishwe kama hivyo, watajitokeza zaidi ya hapo.
 
Thanks so much. I appreciate



 
Mkuu,
Hili ni pigo kubwa sana kwa taifa na Africa kwa ujumla, huyu ndugu ntamkumbuka daima, hofu yangu ni kurudi kwa ccm asilia makamba et al,. Hakuna kitu watu wanakichukia kama ufisadi, na uporaji wa maliasili za nchi, Magu alidhibiti mno. Watu waliona kazi zake ndiyo hiyo nyomi mkuu, I will miss him a lot. Rip Magufuli.

Best,
Kejuu
 
Yes hakuna mtu anachukiwa na watu wote lkn sio wote wanaojipanga barabarani wanaomboleza wengine wanataka kuhakikisha kama kweli kafa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Sasa wanahakikishaje kuwa kafa kwa kujipanga barabarani?

Unauona mwili wake ndani ya jeneza ukiwa umejipanga barabarani?

WTF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…