harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Watanzania ni wapenda ushabiki na umbea, ndicho kinachowajaza uwanjani na mabarabarani hakuna kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma mtalia sana safari hiiWhat’s true?
Hongera kwa kutoka na zawadi ya korona ikutafuneMkuu, ndio natoka uwanja wa uhuru sasa na sijafanikiwa kumuaga ngosha watu ni wengi sana. Wengi sana na wanaoondoka bila kumuaga pia ni wengi....
Nenda kampigie kura basiHao ndio wapiga kura halisi
Kelele za mitandaoni ni nyingi na mtu mmoja yupo huru kufyatua Id kumi kumi kupaza sauti.
Sawa kampigie kura basiCheki masela hawa wa bodaboda...
Huyu ndo mtu aliyekuwa anachukiwa kiasi hicho?
Am I losing my mind or something?
Niseme tu pia kuwa sipendelei mwili wake kuzungushwa zungushwa sehemu tofauti nchini, lakini naelewa.
Ila, if Dar is anything to go by, this guy was loved!
Leo mabodaboda wameongoza msafara wake kwenda uwanja wa Uhuru, tena kwa amani kabisa.
Wala hawakubugudhiwa na Askari.
Huu ni ukweliWanaenda kuthibitisha kama Herode kafa kweli
Asante...Hongera kwa kutoka na zawadi ya korona ikutafune
Kisha wakithibitisha wanalia na kuzimia...
Sasa wanahakikishaje kuwa kafa kwa kujipanga barabarani?Yes hakuna mtu anachukiwa na watu wote lkn sio wote wanaojipanga barabarani wanaomboleza wengine wanataka kuhakikisha kama kweli kafa
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Halafu na wewe unayumba sana Magu akipondwa umo na wewe unaponda! sehemu akisifiwa umo nawe unasifia!!!??Umenena vyema Nyani Ngabu
Mwana kulitafuta, mwana kulipataAsante...
Asante tenaMwana kulitafuta, mwana kulipata