Kifo cha Magufuli kilikuwa habari ya dunia.Mkuu,
Hili ni pigo kubwa sana kwa taifa na Africa kwa ujumla, huyu ndugu ntamkumbuka daima, hofu yangu ni kurudi kwa ccm asilia makamba et al,. Hakuna kitu watu wanakichukia kama ufisadi, na uporaji wa maliasili za nchi, Magu alidhibiti mno. Watu waliona kazi zake ndiyo hiyo nyomi mkuu, I will miss him a lot. Rip Magufuli.
Best,
Kejuu
A traitor at work.Sema watawala viongozi
kwenye utawala wa jiwe kulikuwa na Kiongozi?
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Yes hakuna mtu anachukiwa na watu wote lkn sio wote wanaojipanga barabarani wanaomboleza wengine wanataka kuhakikisha kama kweli kafa
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Aliminya democracy na waliomchukia ni wale waliokua wanamkosoa ila mengine alikua mtu poa
Misimamo yake ya kulipenda taifa na kusema ukweli. I don't believe kama hii is his natural death, rogue elements within and abroad might be behind this dire circumstance, completely a big blow kwa taifaKifo cha Magufuli kilikuwa habari ya dunia.
Kwa mtu aliyekuwa hasafiri sana nje ya nchi, sikujua kama watu wa mataifa mengine walikuwa wanamfuatilia kiasi hicho.
Kifo chake kilikuwa headline news kwenye vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa!
Hukuaga Jana?Mkuu, ndio natoka uwanja wa uhuru sasa na sijafanikiwa kumuaga ngosha watu ni wengi sana. Wengi sana na wanaoondoka bila kumuaga pia ni wengi....
Sio kweli, mfano mzuri kina lissu, karume fatma, sarungi daunghter na bavicha humu...Watanzania ni wajamaa kwa asili. Linapotokea tatizo hua tuna desturi ya kuweka tofauti zetu pembeni na kujumuika kwa pamoja.
Anything is possible.Misimamo yake ya kulipenda taifa na kusema ukweli. I don't believe kama hii is his natural death, rogue elements within and abroad might be behind this dire circumstance, completely a big blow kwa taifa
We ni mpuuzi mmojaWanaenda kuthibitisha kama Herode kafa kweli
Kumbukizi: Msiba WA Ruge.Watanzania chochote utakachowahamasish,hasa kisichotumia mtaji,wanahamasika. Hata aje Id Amini dada leo au Hitler na itangazwe na ihamasishwe kama hivyo,watajitokeza zaidi ya hapo.
Idi Amin wanamlilia kwa kiwango hiki cha Magufuli?ni kawaida sana hiyo, hata iddi amini licha ya maovu yote aliyoyafanya mpaka leo kuna waganda wanamlilia.
wapo wacongo mpaka leo wanamlilia dikteta wao mobutu seseseko. rwanda hapo, licha ya maovu yote tunayoambiwa kuhusu paul kagame, wapo wanyarwanda huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
north korea wapo wanorth korea wanaomlilia kim jong un kila anapolihutubia taifa utadhani kafa.
Leo baada ya askari kusumbua watu na hata kuwapoga makofi wakati watu wakifosi kuingia walianza sema magufuli hakua anatufanyia hivyo, askari alikua mpole sana.Anything is possible.
Unadhani itachukua muda gani watu kuanza kusema ‘nataka ni Magufuli angekuwepo’.?
Unaonea wivu maiti......!!!Sasa hata kama anapendwa yuko wapi? Nyie wajinga mbona mnazidi kujiaibisha kiasi hiki?
Dodoma siendi. Mie sio kada, ni raia wa kawaida sana hata mtaani kwangu mtendaji mkuu wa serikali ya mtaani kwetu hatujuani, ni mitazamo yenu nyie bavicha ndio mnadhani mie ni kada....Wahi Dodoma.