Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

Yaani mnafurahia Rais kuzungushwa mitaani kama sanamu ya mapambo huku akiwa tayari ni marehemu!! Eti mpime ni kwa namna gani anapendwa!!

Inasaidia nini? I wish akapumzishwe mapema iwezekanavyo, na kama ilivyo mila na desturi zetu kama Watamzania/Waafrika.
 
Mkuu,
Hili ni pigo kubwa sana kwa taifa na Africa kwa ujumla, huyu ndugu ntamkumbuka daima, hofu yangu ni kurudi kwa ccm asilia makamba et al,. Hakuna kitu watu wanakichukia kama ufisadi, na uporaji wa maliasili za nchi, Magu alidhibiti mno. Watu waliona kazi zake ndiyo hiyo nyomi mkuu, I will miss him a lot. Rip Magufuli.

Best,
Kejuu
Kifo cha Magufuli kilikuwa habari ya dunia.

Kwa mtu aliyekuwa hasafiri sana nje ya nchi, sikujua kama watu wa mataifa mengine walikuwa wanamfuatilia kiasi hicho.

Kifo chake kilikuwa headline news kwenye vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa!
 
Misimamo yake ya kulipenda taifa na kusema ukweli. I don't believe kama hii is his natural death, rogue elements within and abroad might be behind this dire circumstance, completely a big blow kwa taifa
 
Anything is possible.

Unadhani itachukua muda gani watu kuanza kusema ‘nataka ni Magufuli angekuwepo’.?
 
Watanzania chochote utakachowahamasish,hasa kisichotumia mtaji,wanahamasika. Hata aje Id Amini dada leo au Hitler na itangazwe na ihamasishwe kama hivyo,watajitokeza zaidi ya hapo.
Kumbukizi: Msiba WA Ruge.
 
ni kawaida sana hiyo, hata iddi amini licha ya maovu yote aliyoyafanya mpaka leo kuna waganda wanamlilia.

wapo wacongo mpaka leo wanamlilia dikteta wao mobutu seseseko. rwanda hapo, licha ya maovu yote tunayoambiwa kuhusu paul kagame, wapo wanyarwanda huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.

north korea wapo wanorth korea wanaomlilia kim jong un kila anapolihutubia taifa na kila anapojumuika na raia wake. wanalia utadhani kafa. halafu kuna yale masanamu makubwa ya babu yake na baba yake kim jong un, masanamu haya yapo katikati ya mji, wanorth korea kila wakiyatazama wanayasujudia huku wanalia.

mifano ni mingi kuhusu tawala za madikteta kabla na baada ya kufa kwao, siwezi kuielezea yote.

View attachment 1731381
 
ni kawaida sana hiyo, hata iddi amini licha ya maovu yote aliyoyafanya mpaka leo kuna waganda wanamlilia.

wapo wacongo mpaka leo wanamlilia dikteta wao mobutu seseseko. rwanda hapo, licha ya maovu yote tunayoambiwa kuhusu paul kagame, wapo wanyarwanda huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.

north korea wapo wanorth korea wanaomlilia kim jong un kila anapolihutubia taifa utadhani kafa.
Idi Amin wanamlilia kwa kiwango hiki cha Magufuli?
 
Anything is possible.

Unadhani itachukua muda gani watu kuanza kusema ‘nataka ni Magufuli angekuwepo’.?
Leo baada ya askari kusumbua watu na hata kuwapoga makofi wakati watu wakifosi kuingia walianza sema magufuli hakua anatufanyia hivyo, askari alikua mpole sana.
 
Back
Top Bottom