Mi nadhani tuendelee kuamini mila na desturi zetu hasa mtu anapofariki ndo zinazotufanya hivyo.Ukitaka kila mmoja approve kwa namna anavyompenda au anavyomchukia nadhani utakuwa si ustaarabu na kinyume cha mila zetu.Hata hivyo “wanaomtuchukia “kama wapo hawajapewa nafasi hivyo ya kuonyesha namna wanavyomchukia,hata hivyo hawawezi kupata nafasi hiyo.Tuendelee kuamini tunampa heshima ya mwisho kiongozi wetu kuliko kutaka ku-prove idadi wa wanaompenda wapo wangapi!
Mkuu,Anything is possible.
Unadhani itachukua muda gani watu kuanza kusema ‘nataka ni Magufuli angekuwepo’.?
Mimi sina akili.
Ni wa darasa la saba tu.
Wengine hudai mi ni wa fom foo tu.
Sinaga akili kama wewe na wenzako.
Sawa. Sina akili.Nimehoji uwezo wako wa akili, na si elimu yako. Vitu viwili tofauti.
nadhanikuna difference between kumchukia mtu na kuchukia anayoyafanya.What’s true?
Usizitusi akili za watu.Wengi wape wachache wasikilizwe, inawezekana hao wachache ndio wanaoelewa kwa undani mustakabali mpana wataifa; ni kwa mantiki kama hiyo taifa letu liliingia kwenye mfumo wa vyama vingi kwa kuamua kuitikia 20% ya walioutaka mfumo huo badala ya 80% walioupinga, wakati mwingine nguvu ya hoja na busara hushinda mabavu na idadi ya wahafidhina
Hakuna hela yyte mtakayopigaView attachment 1730937
Na sasa ndio tutapiga fedha kama Awamu ya Tano ninyi emdeleeni kulia tupisheni mjini
96 B zishapigwa hukoHakuna hela yyte mtakayopiga
Mbona roho kama ya Bundi?Hakuna hela yyte mtakayopiga
We unajua causality ya ugonjwa or unapopoma tunegligence ni ya marehemu kwa kutochukua tahadhari juu ya korona. Sayansi haitaki ubishi, ukibishana nayo itakuumbua na ndicho kilichotokea
Sababu ni kilinganishi tu, sababu inaweza kuwa ya msingi au la! Halisia au ushabiki mandazi tu. Kwenye misiba watu huenda na nia nyingi, wengine ni sababu za uhakiki tu.Usizitusi akili za watu.
Watu si wajinga kumpenda Magufuli bila sababu.
Hata msiba wa basha watu wanahudhuria vile vile.
Binafsi sijawahi kuelewa watu wa Dar huwa wanafanya kazi muda gani! Nadhani wanaongoza duniani kwa kupenda kushangaa shangaa vitu/watu.Hata pierre Liquid,akienda sehemu yoyote Dar watu wanajaa kumshangaa....ndio hulka ya watu wa Dar!!