Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ninazo zinanitosha. Anyway napita hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazo zinanitosha. Anyway napita hivi
Mbona akija mbeligiji hawajai ebu acha mambo ya ajabu mimi sina ushabiki wa vyama lakini ukweli ni kwamba MAGUFULI alipendwa zaidi ya CCM na CHADEMAWatanzania chochote utakachowahamasish,hasa kisichotumia mtaji,wanahamasika. Hata aje Id Amini dada leo au Hitler na itangazwe na ihamasishwe kama hivyo,watajitokeza zaidi ya hapo.
Kuna jamaa alilifuata gari na baiskeli hadi huruma sina hata hakika kama alikuwa anamjua hata ruge ni naniKumbukizi: Msiba WA Ruge.
Baada ya Marehemu kushika madaraka mkaja kujazana Dar sasa ndio mtaujua mjituwapishe mjini ili mgawane nchi!!!
huo ujinga ishieni kuuwaza vyumbani mwenu huko.
We jamaa nilidhani una akili kumbe......Kifo cha Magufuli kilikuwa habari ya dunia.
Kwa mtu aliyekuwa hasafiri sana nje ya nchi, sikujua kama watu wa mataifa mengine walikuwa wanamfuatilia kiasi hicho.
Kifo chake kilikuwa headline news kwenye vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa!
Mimi sina akili.We jamaa nilidhani una akili kumbe......
Rais wa nchi ya watu zaidi ya milioni 60 afariki unategemea isiwe news? Tena Rais ambaye kwa sababu zisizo na mantiki sana ameenda kinyume na sayansi ya kupinga uwepo wa pandemic inayotesa dunia nzima.
At least vyombo vya nje vinajua wajibu wao. Hapa wangeamua haya mazishi yasitangazwe na vyombo vyetu, hakuna chombo ambacho kingetangaza.
What you demonstrated with your videos!!What’s true?
Dah!
Mpaka nimelengwa na machozi.
Nenda kampigie kura basi
Hapa natazama round 5 za uwanja wa uhuru, watu wanalia mpaka wamenitoa machozi i see!Dah!
Mpaka nimelengwa na machozi.
Sawa kampigie kura basi
Hao ndio wapiga kura halisi
Kelele za mitandaoni ni nyingi na mtu mmoja yupo huru kufyatua Id kumi kumi kupaza sauti.
Yup! Mi mwenyewe nimeganda kwenye runinga siku nzima.Hapa natazama round 5 za uwanja wa uhuru, watu wanalia mpaka wamenitoa machozi i see!