Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

Na hapa ni Dodoma, ila mkuu kuna haja ya kuzuia au kupunguza hii misongamano hasa kipindi hiki cha Corona maana wanasongamana bila barakoa!
 
Magufuli ametuvua nguo aisee[emoji16][emoji16][emoji16]
 
walianza ujinga jana kwamba kuna gari zinasomba watu.

walipoona haiwezekani huo wimbo kuingia kwenye maskio ya watu timamu wa akili,wakaona wakaushe.

kwa sasa wanasema watu walikwenda kuhakikisha[emoji23][emoji23][emoji23].
watu wanasema ukiukataa ukweli,utakufata kama kivuli chako na kukuzomea.
Kampeni ya maiti inaendelea...
Kikubwa muuaji, mtekaji, mtesaji na mwizi wa uchaguzi sasa hatunae.

Mungu ana maana yake kutoa jitu hili
 
Kampeni ya maiti inaendelea...
Kikubwa muuaji, mtekaji, mtesaji na mwizi wa uchaguzi sasa hatunae.

Mungu ana maana yake kutoa jitu hili
hiyo ni ishara kwamba nguvu ya umma huo itakuwa dhidi ya simbilisi yeyote atakayeamua kwenda tofauti na itikadi za mwamba.

mwamba amefungua njia,amewachanua watz wajue thamani yao.sasa jichnaganye uvurunde.utajua nguvu ya umma ni kitu gani.
 
Ukweli sio kila unachokiona ndivyo kilivyo,hao ndio watu bwana. Kila mmoja ana lake pale.
Hata hivyo ameenda ghafla sana,sikutegemea. Mungu ampe haki yake kadri anavyostahiri.
 
UFIPA,mmebaki na aibu na sononi.

mtaambia nini watu[emoji23][emoji23][emoji23]
sisi wafuasi wake tumekubali mzee apumzike,halafu hali imekuwa mbaya zaidi kwenu.
Majaliwa anasema yupo na anachapa kazi..

Mpitisheni na hapa dampo tumuage DR wa Korona
 
Dr John Pombe Magufuli hakua wa kufa leo wala kesho ; tatizo kubwa ni ile hali aliyoiweka na washauri wake kushindwa kuhakikisha Daktari wa Rais anakuwa na msimamo ; kama Ambavyo tulimlaumu Dr Mwakyusa kwa kifo cha mwalimu kwa uzembe na kumuacha Mwalimu Butiama akiwa amezidiwa huku yeye yuko dar na chaguo lake la kwenda general hospital ya at thomas kutibu leukemia badala ya india au China , ( Mwandosya alipona Leukemia india )
Dr Machemba hata kama ni home boy kazembeaa pamoja na washauri wengine akiwemo dr Ngwale hawa pamoja na walinzi wa Rais wamezembea sana

Rais Magufuli alitakiwa kwenda kubadili Pacemarker Ujerumani

walichukua hatua gani baada ya contact wa Magufuli Kijazi kfariki?

kama Magufuli aliugua akapata nafuuu hata kama ni kwa masaaa 48 kwanini hawakumkimbizaa Ujerumani mara moja kwenye ile hospitali iliyomtibu mara ya kwanza ????? ni masaa nane tu kwa ndege ya rais

Tunaomboleza lakinj ni wakati wa Idara ya Usalama kuweka madaktari competent wa Rais ; hawa dizaini ya dr mwakyusa ; dr Ngwale ; au machemba waachane nayo

Ndani ya Emilio Mzena kuwe na timu ya madaktari bingwa nchini wa kushauri madaktari wa viongozi ,‘najua viongozi wetu wanapenda Madaktari Rafiki zao ambao sio competent !!!!! where is our medical intelligence?!?!

Najua madaktari mfano wa Mama Samia walio mzena au Lugalo sio the best !!!!! Hili la Magufuli Rais kulazimisha daktari kwakua tu ni Rafiki wakati wengine wana degreee za east europe na Russia tuangalie !!?

we have the best doctors wawe panel ambayo daktari wa Rais atatakiwa kuomba ushauri pale ambapo Rais ana serious ailment !!!!

Maisha ya Magufuli yangeweza kuokolewa hata kama alikua hataki kwenda Ujerumani kulikua na namna ya kumfikisha huko as long as Baraza la Usalama limekua briefed

Mimi hapa ndani nili muendorse Magufuli kuwa Rais toka 2013 ; pamoja na kutofautiana naye kwenye human rights issues sera zake zote zingine nazikubali ....... alikua na washauri wabaya ambao walishindwa kuboresha image yake kwenye mambo ya haki za binadamu
; ukitoa hilo yaliyobaki ni 100%
 
Hiyo ya Fatma hata mimi nimeona!

Desperate menopausal little bitch.
She is bitter. Maana awamu ya 5 did not put a red carpet for her but treated her as Jane Doe.

Lkn ukitaka kujua she is not honest kuna interview alifanyiwa na Salama ilipofika issue ya having been benefactors of CCM not once but twice and had privileged education. She became defensive.
 
She is bitter. Maana awamu ya 5 did not put a red carpet for her but treated her as Jane Doe.

Lkn ukitaka kujua she is not honest kuna interview alifanyiwa na Salama ilipofika issue ya having been benefactors of CCM not once but twice and had privileged education. She became defensive.
Mi niliona jana kwenye Twitter page yake ka juxtapose picha za msafara wa msiba wa Nyerere na msiba wa Magufuli.

Picha ya Nyerere kaweka kipande kinachoonyesha watu wengi halafu akatafuta picha ya msafara wa Magufuli ambayo sehemu ilipopigwa hakukuwa na watu wengi kama kwenye hiyo picha ya Nyerere.

Lengo ni kuonyesha kuwa eti Magufuli hakuwa anapendwa na watu!

Nilichokiona leo, jana, juzi na tokea tutangaziwe, sidhani kama macho yangu yananidanganya.

Wapende wasipende, Magufuli alikuwa anakubalika, hata kama wengine walikuwa wanamkubali kimya kimya.

Reaction ya watu imethibitisha hilo.

Sasa subirini kesho muone Wagogo watavyojitokeza.

Bado na Mwanza. Chato ndo usiseme kabisa.
 
Back
Top Bottom