Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

Why didn't you cry for reconciliation when he was killing, detaining, doing extortion and impoverishing people at the pleasure of his animosity?

Please buddy, let this tasteless carcass rot in hell.
"Evaluate you battles carefully, sometimes peace is more important than being right."

Mkuu, kama kuumizwa, tumeumizwa wengi sana, tena mengine hatuwezi kabisa kuyasema hadharani.
Lakini unapozidi kulaani mtu aliyekufa nadhani haisaidii sana, zaidi zaidi hutonesha majeraha ya moyo.
Huu ni ushauri wangu tu kwako: And I know You're smart, so try to cool down.
 
..jeshi la polisi lilikuwa limewakataza wananchi kwenda kumpokea Tundu Lissu.

..pia kurejea kwake hakukutangazwa sana ktk vyombo vikubwa vya habari hapa nchini...
Majibu ya Legends hapa JF utayajua tu. Asante sana kwa jibu lako Mkuu,kwa hiyo tukubaliane hapa umati uliojitokeza kwa JPM kumuaga ulisukumwa na utashi binafsi wa watu kama vile utashi ule ule wa waliokwenda kumpokea TL?
 
Mimi si kipofu wala si kiziwi.

Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu.

Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo?....
Zipo sababu nyingi za nyomi unayoizungimzia:
1. Wengi ni watu wamachinga walioruhusiwa kufanya biashara kiholela kila mahali. Wanalia, hawajui hatma yao.

2. Wafanyabiashara wengi sehemu wanayofanyia biashara ni barabarani huko huko anakopitishwa.

3. Nyomi uwanjani ni uthibitisho pia wa watu wengi wasiokuwa na kazi hivyo kuwa na muda wa kutosha kwenda kuaga.

4. Hizi siku mbili jana na leo ni weekend na kesho imetangazwa kuwa mapumziko.

5. Wapo wengi ambao pia walimpenda kwa dhati kama mtetezi wao kwa matumaini ya kuja kutoka.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Upepo haukuwa mzuri, mitandaoni hali ya mijadala ilitisha, kulikuwa na maoni mchanganyiko kuhusu atavyokumbukwa rais wetu JPM.

Ukweli ni kwamba kupitia kikao cha kamati kuu ya CCM kilichokaa Siku ya ijumaa tarehe 19 Machi, 2021, na kupitia kwa msemaji wake ndugu Pole Pole, waliagiza wanachama wao nchi nzima kushiriki na hayo yalikuwa maagizo.

Haishangazi kile kinachoonekana Leo, kesho hadi tarehe 26. Pitieni ile Press ya mwenezi mtaelewa.

Nguvu inayotumika imezidi mapenzi ya kawaida. Uhalisia utaupata Siku ile ya mwanzo ya kutangazwa msiba namna ulivyopokewa. Haya mengine ni fabrication.

Chama kimeubeba msiba na kuielekeza serikali nini ifanye.

Utashangaa nini kuona watu wakijazana Leo kwa mtindo uliopo.

Kila MTU binafsi na makundi maalumu yanatifautiana watakavyomkumbuka marehemu JPM.
Wakati huwa haurudi nyuma. Ukweli was mapokezi ya msiba ndio uluopelekea maagizo yaliyotolewa.


RIP JPM. Niseme tu hakuna mkamilifu.

Siasa ya kifo cha JPM haisaidii kitu kwa sasa.Tumuombee tu.

Kishada
 
Aliminya democracy na waliomchukia ni wale waliokua wanamkosoa ila mengine alikua mtu poa.
No Democracy for Traitors:
No democracy for those who wants to disturb Peace and Unity of Republicans
We are Republicans..
We know democracy and practicing it regularly, for those who want to use the weaknesses on democracy to take over,Im very sorry..
 
Majibu ya Legends hapa JF utayajua tu. Asante sana kwa jibu lako Mkuu,kwa hiyo tukubaliane hapa umati uliojitokeza kwa JPM kumuaga ulisukumwa na utashi binafsi wa watu kama vile utashi ule ule wa waliokwenda kumpokea TL?

..You are comparing apples to oranges.

..Umati wa Magufuli wamekwenda kwa uhuru na kujiachia.

..Umati wa Lissu walikwenda kwa kujiiba-iba kwani walishakatazwa na kutishwa.

..Magufuli lazima apate watu wengi kwasababu, kwa nafasi yake kama kiongozi wa nchi, alikuwa mtu maarufu kuliko Watanzania wote.
 
Magufuli alikuwa Mussa wetu akitutoa Misri na kutupeleka nchi ya Kanani, ila Mungu kaamua kutuadhibu na kutuonyesha uwezo mkubwa alikuwa nao Magufuli,itachukua kipindi kirefu sana kumpata Magufuli mwingine,tukumbuke nae alikuwa ni mwanadamu kama mimi na wewe na hakuwa malaika lakini kwa kipindi kifupi katuonyesha njia,tunamshukuru Mungu kwa kutupa Magufuli japo kwa muda mfupi,wacha tulie.
 
Hii haihitaji degree kuielezea,
Magufuli hakubana watu wa hali chini kama chinga,bodaboda na wengineo kama mama ntilie na hawa ndio zao la hilo nyomi mnaloliona.

Msisahau kwa tz watu wa hali ya chini ni zaidi ya 70% ya population na mifumo mingi kandamizi hawa imewaweka kando kupitia 20,000/= ya kitambulisho cha chinga.

Chinga karikoo anapanga bidhaa barabarani kwa siku anauza 300,000 lakini hana makadirio yoyote TRA zaidi 20,000/= kwa mwaka ,wakati wewe ukiwa na fremu mauzo 100,000/= kwa siku makadirio TRA 3000,000/= kwa mwaka,sasa kwanini wasizimie msibani?Kabla ya utawala wa magu chinga aliishi kama digidigi kama ambavyo wafanya biashara wa kati na wakubwa wanavyoishi sasa.

Ukweli ni kwamba kama Magufuli angeweza kuwafanya wafanya biashara wa Kati na wakubwa kufanya biashara kwa uhuru,kama angeweza kutominya vyama vingine vya siasa,kama kungekuwa na uhuru wa vyombo vya habari,angelikuwa ni kiongozi bora Sana ila kwakukosa sifa tajwa hapo juu kwangu ndie raisi wa mwisho kabisa.

Huo ndio uhalisia wa mambo nchi imepasuka vipandevipande,hivi ni muhitimu gani atazimia kwa msiba huu?ajira hakuna na ukiipata mshahara unakatwa pesa za mkopo + ma fee mengine ya hovyohovyo.

Hii ilikua ni technique na alifanikiwa sana kwenye hili.

Yote kwa yote RIP
 
Back
Top Bottom