Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

..You are comparing apples to oranges.

..Umati wa Magufuli wamekwenda kwa uhuru na kujiachia.

..Umati wa Lissu walikwenda kwa kujiiba-iba kwani walishakatazwa na kutishwa.

..Magufuli lazima apate watu wengi kwasababu, kwa nafasi yake kama kiongozi wa nchi, alikuwa mtu maarufu kuliko Watanzania wote.

Msingi wa hoja yangu ulianzia nyuma kwa Scars alisema waliokwenda kwa JPM wamelazimishwa! Ni kwa mwambia hapana watu huwa wanakwenda kwa utashi wao tu hasa katika matukio kama haya! Kwa hiyo swala hapa halikuwa UWINGI wa Watu la hasha! Swala lilikuwa kwanini Wamekwenda, ndiyo maana nikaleta mfano wa waliokwenda kwa Lisu, hoja ikiwa ile ile ni UTASHI uliwasukuma na si kulazimishwa.
 
Siku yule mkimbizi aliyeko ubelgiji akirudi, tutajipanga kumpokea kwa kumzomea!!! Labda aje kimya kimya na iwe usiku!! Atukome!!! Bila shaka kwa aibu anaona jinsi watu walivyokuwa wanampenda Rais wao Magufuli.
 
Waliomchukia rais wetu mpendwa ni wale wahuni wa tweeter na Facebook mbaya zaidi walisusa hata kuwapigia kura wagombea wao wakabaki kulia baada ya matokeo ktoka
 
Unaona aibu¡ Mmeumbuka mlipokuwa mnaitangazia dunia kuwa Magufuli hapendwi!! Hata mwenda wazimu hawezi kukubaliana na maneno Yako!! Magufuli anapendwa Sana na watanzania!
Hata dhamiri Yako mwenyewe inakushuhudia kuwa Magufuli slope deal Sana na watanzania!!! Kisa Cha kupendwa ni uchapa Kazi wake na uzalendo wake!!
 
Usishangae. Watanzania tupo conditioned kumuona raisi kama baba yetu hata kama wengi wanamuona ana mapungufu na hawakubaliani naye. Ndiyo maana tangu nchi ipate uhuru Watanzania tulikubali raisi awe na absolute powers. Kwa mfano yeye ndiyo anamiliki ardhi yote. Hii alianzisha Nyerere ambaye aliiga nchi za kikomunisti.
 
Nyomi hii ni msumari wa mwisho kwa mabeberu na vibaraka wao!!!
BBC kwa aibu habari ya kuagwa kwa Magufuli na umati uliojitokeza hawajasema chochote utafikiri hawana waandishi wa habari wala mawakala wao hapa Tanzania!!
 
Watanzania wameudhihirishia ulimwengu ni kiasi gani walimpendwa magufuli tena kwa hisia zandani kabisa
 
Nyani Ngabu mimi chakorii nilimpenda Magufuli kwa utendaji wake tangu akiwa waziri mpka raisi.ninayo mengi aliyonigusa nayo.Hata nifukiwapo kaburini..Magufuli ataendelea kuwa nami.hata siku ya paradiso Magufuli ataendelea kuwa nami.

Alikuwa na mabaya yake lakini mazuri yake yalinifanya nimuone ni mkombozi wetu.mwanadamu yeyote hawezi kupendwa na watu wote duniani.Yesu hakuwa na kosa bali kuukomboa ulimwengu lakini alichukiwa sana.aliteswa,akasulubiwa,akafa lakini akafufuka.Naamini Magufuli yuko sehemu salama sasa🥺🥺🥺wakati yuko hai wanadamu walisema watu wanakodishwa.sasa hayupo tena duniani 🥺🥺ni nani basi anaeweza kuwalipa fidia hawa watu wote waliotoka kumlilia Magufuli💔💔💔💔.

Yanikumbusha Habari ya mwanapunda aliyetandikiwa matawi ya miti 😭😭😭😭si kwa sababu yake...bali kwa kile alichokibeba😭😭😭nimekiona kwa watanzania katika hiki kipindi cha maombolezo.😭😭😭ni nani basi atoke mbele aseme Magufuli alichukiwa na watanzania wote??😭😭😭😭😭 ni huzuni sana 🥺🥺hakuna wa kuuthibitishia ulimwengu mzima kuwa Magufuli alikuwa hapendwi😭😭😭hakuna jamani hakuna😭😭😭😭

Magufuli amezima kama mshumaa😭😭😭😭
Magufuli amka basi japo kidogo utuambie kile kilichokuwa moyoni mwako kabla hujakata roho baba😭😭😭😭😭😭😭😭kuna wanaokuona ulikuwa mbaya sana na hukustahili( )lakin kuna wengine wanaona nyota imezimima ghafla ndani ya kiza totoro 😭😭😭😭😭ninatamani urudi baba😭😭😭😭😭😭😭rudi baba..rudi tafadhali 😭😭😭rudi Magufuli 😭😭😭💔💔💔💔itanichuku muda kuamini kuwa haupo nasi tena Magufuli😭😭😭😭😭rudi hao kidogo baba😭😭😭rudiiiiiiiii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🥺🥺🥺🥺💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔

Najikuta nalia kwa Uchungu na siwezi badilisha ukweli kuwa umeondoka na hatutakuona tena katika ulimwengu wa mwili😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Pumzika kwa Amani baba Magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu akupe pumziko la milele Baba John Joseph Pombe Magufuli 🙏

 
Ila, if Dar is anything to go by, this guy was loved!
That's the truth. Sisi wananchi wa kawaida, walalahoi, makapuku tulimpenda sana kwa sababu alikuwa anatusemea, anatusikiliza, alitamani kuona shida zetu zinatatuliwa. 'Elites' na wapiga porojo za kisiasa ndio hawakumpenda
 
Nyomi inatangazwa utadhani ni kampeni za siasa.
Naona kama ndo karata yao ya mwisho wachumia tumbo wa JPM.
Watu tupo na mama Samia.
poleni sana team fake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Litawauma sana,litawachoma sanaaaa ehn.
JPM alionyesha nini maana ya kuwa Rais.
Urais ni kazi na sio fahari ya mtu kutaka kuwa rais.
Trump alijenga ukuta kuzuia wazamiaji,biden kaachana na matumizi yake marekani ina hangaika na wahamiaji halamu.
Biden aliutaka urais kama fahari tu kaapishwa lakini hana sifa ya kupewa dhamana kubwa kama ninavyowaona wapinzani wa JPM.
Watu wameguswa,kiwalani ilikuwa haina thamani pita leo Ukaone lami.
Pita leo Temeke,pita leo gongola mboto pita njia ya sinza mwenge kutokea shekilango utaniambia .Kulikuwa na shida na ilikadiliwa sasa hali ingekuwa mbaya kwa wakazi wa maeneo hayo yote badala yake wako fresh sana.
Trump maadaui zake kawaua wenyewe tu na hakutaka vita Biden anaingia vitani na marekani inakuwa maskini ndani ya muda mfupi.
Trump hakuidhinisha mabilion ya covid ,Biden kaidhinisha mwisho wake mtauona.Furaha ya biden ni kuitwa mh rais kama alivyokuwa anapenda membe lakini sio kushughulikia matatizo ya nchi.
JK alisubiria urais kwa 10 na alipopewa bado hakuwa na malengo zaidi ya kuamua kuweka misingi ya elimu ,barabara na afya ambayo tunayo toka enzi za mwalimu.
Litawauma sana mnaotaka watu wamchukie JPM lkn kazi ya mikono yake tumeiona.
Nimefurahi kuona ameacha sahihi yake kwenye pango la SGR la chini ya mlima kule kilosa.Watu tutaenda kupiga nayo picha Kule KULE pangoni.
 
Back
Top Bottom