Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

China na USA ni maswahiba kuliko watu wanavyodhani!!
Mbongo kwa UJUAJI. Hivi leo aje atutenganishe na kisiwa cha Mafia au Ukerewe na kuvitambua kama nchi na kuvikingia kifua halafu useme Tz ni Maswahiba na USA
 
Mbona kama vile umeumia sana kwa hiyo ww una uchungu na Ulaya kuliko Macron [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]
 
Dunia ina vituko sana, mchoma mkaa wa Igunga anawaambia wazungu waamke![emoji1787]
 
Welcome New multipolar
Tumekaribia sana kufika huko; tayari china imeizidi USA kwenye Global GDP(PPP) na kwa upande mwingine VRICS imeifunika G7 tuendelee kula mtori nyama ziko karibu
 
Yupo sahihi
 
Kwa hiyo umeweka Chawa tuwafananishe EU na Kina mwijaku na Baba ake Levo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…