Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

Yes We believe that and he is 💯💯 %correct...
See how indebted you are..
Corrupt
Selfish
Ego
And Stupid
 
Waje na huku watutawale maana hawa wakoloni wenzetu wanakula ni balaa
 
Kuna visiwa vipo Afrika vinamilikiwa na Ufaransa mfano Mayotte, vipi huko maendeleo yapoje mana hivyo visiwa vilikataa uhuru na kukubali kuwa sehemu ya Ufaransa.
 
Yes We believe that and he is 💯💯 %correct...
See how indebted you are..
Corrupt
Selfish
Ego
And Stupid
Kuna mtumishi wa umma anamiliki timu ya mpira,yeye analipwa mshahara na malupu lupu na serkali halafu na yeye alawalipa wachezaji wa ndani na wakigeni mishahara na bonus.
 
Wanatutawala sana mbona? SEMA France kimemuuma kutimuliwa kule magharibi.
 
Huo ndo ukweli, watawala wa Africa bado wana akili za Kisokwe. Si hata wewe unaona hapa kwetu.
Mzungu arud apige kazi reli zijengwe kwa gharama nafuu na viwanda vifufuke.
 
sahihi kama wananchi wanazuiliwa kwenda koti na magereza kuona ndgzao...hizi ni indicator zenyewe warudi tu
Kwa hiyo baba yako akisema wewe unaoa lkn haujajipanga lazima ukae hapa kwangu na mkeo hadi utakapokaa sawa utakubali?
 
Aondoke kabisa tena kafanya uamuzi sahihi,kuondoka kwa wakoloni weupe ni mwanzo wa kuanguka kwa wakoloni weusi,hata wale wetu wabongo.Mungu ibariki Afrika na uwalaani wakoloni weusi.
 
Kama ni kweli kasema hivyo, mwambie yeye ni kenge msengerema. Ndio maana analelewa na m-bi bi.
Nyambafuuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…