Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

Kuna visiwa vipo Afrika vinamilikiwa na Ufaransa mfano Mayotte, vipi huko maendeleo yapoje mana hivyo visiwa vilikataa uhuru na kukubali kuwa sehemu ya Ufaransa.
Huwezi kuifananisha Mayottte na lindi boss, huko maendeleo yapo, na siyo Mayotte tu, hata Seychelles pia wanatunanga sisi tunaojiita nchi huru huku raia wakiwa kama wafungwa tu,leo tunapangiwa hadi maneno ya kuongea tukiwa public, ukijikoroga kidogo tu unajikuta ununio bila kipande cha mwili, au mwili uliooza kwa kipigo, ujinga kabisa.
 

Attachments

  • 6037475-c90487a0a3c9f670172c401e803cbac.mp4
    3.5 MB
Huwezi kuifananisha Mayottte na lindi boss, huko maendeleo yapo, na siyo Mayotte tu, hata Seychelles pia wanatunanga sisi tunaojiita nchi huru huku raia wakiwa kama wafungwa tu,leo tunapangiwa hadi maneno ya kuongea tukiwa public, ukijikoroga kidogo tu unajikuta ununio bila kipande cha mwili, au mwili uliooza kwa kipigo, ujinga kabisa.
Du! Hata me huwa najiuliza, mfano Tanganyika, hivi Mwingereza angeendelea kututawala kulikuwa na tatizo gani ikiwa Watanzania walikuwa na nidhamu na hakuna kutekana? Miundombinu inajengwa, shule middle school nk! Tofauti ya kipindi cha mkoloni na sasa Tanganyika ni nini? Kwenu mlioishi kipindi cha Mwingereza na kipindi cha sasa!
 
Hakuna jipya aliloongea Macron hapo maanake ukweli uko wazi kwamba mwafrika hawezi kabisa kujitawala. Sasa kama watu hata uchaguzi tu wanashindwa kufanya kweli hao ni watu wa kuweza kujitawala. Afrika bure kabisa.
**********************************************
The late PW. Botha once said it all that the gravest mistake that cannot be pardoned is to allow the black man to rule a country and today the evidence is there for all to see. Independent African countries are a laughing stock of the world 🌎🌍
**********************************************
With its vast mineral resources and the fertile land, the continent has nothing to show in development terms.

Poor infrastructure is the feature of the continent's diverse landscape which is the home to millions of the most impoverished population on earth while the ruling elites line their overseas bank accounts with the ill-gotten wealth.

Surely Macron has spoken the reality and only sadists will disagree with him but the truth will stand the test of the time.
 
Tunapingana na Macron ilihali mifano tunajionea kwenye utawala wa CCM hapa.

Zaidi ya miaka 50 ya kujitawala tumeshindwa hata kuupanga vizuri mji wa Dar es salaam.
SASA NINI TUNAWEZA?
 
Mayotte walifanya referendum either wajitawale wao wenyewe 100% au wawe under French regime.....wananchi wakaamua kupitia kura za maoni wawe chini ya ufaransa.....wenzao kisiwa cha Comoros wakaamua wajitawale wao 100%.

Mbungi ikachezwa....
Leo hii Mayotte ime- develop na kuwaacha mbali sana wenzao walioamua wajitawale wao akina Comoros....sasa wanayamezea mate maendeleo ya ndugu zao ambao walikuwa na level moja ya umasikini.

Mfano rahisi ni kama Zanzibar,
Comoros na Mayotte ni kama ilivyo leo Unguja na Pemba...vyote ni visiwa vya ndugu wa damu moja
Sasa Unguja waamue wajitawale wao kama complete sovereign state...halafu Pemba waamue wajitawale, lakini waendelee kuwa under Oman regime..
 
Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao

President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!!

Can you believe that fellow Africans?

MACRON: 🗣️ “If we leave African countries to manage on their own, now is not the time. Africa remains the least developed continent, and history shows we have a role to play in supporting its growth. A complete withdrawal could halt progress. There is still much work for us to do in Africa, and we believe they are not fully ready to thrive without our involvement.”
Na huo ndio ukweli mchungu. Sisi kujitawala wenyewe Bado sanaaaa!!
 
Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao

President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!!

Can you believe that fellow Africans?

MACRON: 🗣️ “If we leave African countries to manage on their own, now is not the time. Africa remains the least developed continent, and history shows we have a role to play in supporting its growth. A complete withdrawal could halt progress. There is still much work for us to do in Africa, and we believe they are not fully ready to thrive without our involvement.”
Rais huyu angalikua mwarabu tungalitukanwa watu wa imani moja, lkn ni mzungu ambae alihudhuria mazishi ya papa mambo zii humu
 
Kwa kweli nchi nyingi za Afrika, Tanzania ikiwa mojawapo, zimeshindwa kabisa kujitawala. Tatizo kubwa ni aina ya viongozi ilio nao.
Uongozi wa nchi nyingi za Afrika ni sawa na ule wa kundi kubwa la fisi. Fisi mkubwa na mwenye nguvu anaweza hata kuwala watoto wa fisi wenzake!!
 
Yupo sahihi, angalia mambo ya ccm na Lisu halafu mbishie
 
Macron amekuwa kama EX king'ang'anizi asiekubali kuachika.
 
Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao

President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!!

Can you believe that fellow Africans?

MACRON: 🗣️ “If we leave African countries to manage on their own, now is not the time. Africa remains the least developed continent, and history shows we have a role to play in supporting its growth. A complete withdrawal could halt progress. There is still much work for us to do in Africa, and we believe they are not fully ready to thrive without our involvement.”
Hana adabu
 
Kwa yanayoendelea hapa Tanzania hiyo kauli ya macron naisupport kabisa, tumepata premature independence, hasa hasa nchi nyingi za Africa, mbali na mifumo mibovu ya kiutawala na kiuchumi lakini bado pia tupo dependent sana badala ya kuwa independent
 
Back
Top Bottom