Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

Tunapambana na MACRON ilihali hapa Tanzania miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kuendesha mwendokasi hapo Dar es salaam.
 
Ukute kaitolea mfano Tanzania, akiangalia upumbavu unaofanywa na CCM, eti Watu hawaruhusiwi kwenda mahakamani, au eti tume ya uchaguzi inateuliwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye na yeye baadae anageuka kuwa mgombea anajikuta anathibitisha madai yake
Macron yuko sahihi.
 
Anaumwa mazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…