Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Bro umeongea genuinely truth.
Uelewa wahitajika
 
Gari gani inakula wese kama jini aisee na hapo sio 6 cylinder na ina cc 2000 tu. Sasa si bora nitembelee Mark X tu nijue moja tu bampa to bampa.
Mbna zipo mpaka cc1990?
No uwezo wako tu wa mfuko na mahitaji pia.
4wd hyo sijuinmark x inayo?
Pia ina turbo, vp mark x inayo?
 
Kama unashindwa dar iache tu. Kama uko mkoani chukua hutajutia. Nimetumia legacy b4.... Nimeenjoy sana. Spare ni maneno tu watu
 
Ninayo Forester tangu 2010 manual transmission yenye Turbo (kidirisha kwenye bonnet).Ni imara sana ila kwenye foleni za Dar inakula mafuta kwenye safari ndefu inakula mafuta kawaida.

Haziharibiki hovyo hovyo ila ikiharibika spea zake ziko juu na nyingi haziingiliani na Toyota.Shock up tu ni karibu laki 2.Ni 4AWD hazinasi kwenye tope;mchanga nk.Kwenye long route V8 Landcruiser ndiyo huwa naona zinani overtake....
 
Mbna zipo mpaka cc1990?
No uwezo wako tu wa mfuko na mahitaji pia.
4wd hyo sijuinmark x inayo?
Pia ina turbo, vp mark x inayo?
Sasa 1990 si ndio hio cc 2000 mkuu. Gari haina comfortability yoyote still inabwia wese. Haikubaliki
 
1990 na 2000 ni sawa mkuu?
Basi 1 na 5 ni sawa..
Gari hazitumii mtori bro..
Ni wese kwenda mbele
 
I've owned this car for about 3 years now.. (yangu ni 2004 forester cross sport, turbocharged)
Ukweli I've had great runs na hii Gari na sijawahi kupata any major mechanical difficulties, other than oil change, shocks, (ambayo ni mambo ya kawaida sana.

Experience yangu na hii gari ni safari ndefu, Dar to mwanza, dar to arusha, dar to nairobi.. and I'm proud to say, I gave the V8s and the prados a fun for their money.

Kwenye swala zima la spare part zipo readily available.. hii ni tofauti na 3 4 years ago.. Ni kweli spare parts zake ni slightly expensive comparing to toyotas, Ila unakuwa assured Kwa spare genuine, na ambazo zitakaa mda mrefu.. (mfano utanunua spark plugs for 40,000 moja, Ila uhakika wa kukaa Kwa Muda say mwaka mzima, comparing Kwa gari nyingine ambayo utapata Kwa 15,000 Ila Kwa mwaka utabadili 3 or 4 times.. so you do the math.

Kwenye swala zima la fuel efficiency, well, let's just say inategemea wewe na matumizi yako.. (uendeshaji, speed etc) but for me, niliona kawaida tu.. u can't really be specific Kwenye swala la KM/L, so many factors, i.e. Foleni, ac etc..

My advice;
Forester is a good car.. Kama unavosema rafiki yako yupo mkoa I na anahitaji gari ambayo inaweza kumudu mikiki..

Thanks to its full time 4wd, and firm chassis, forester can handle it all.

Note;
Ni vizuri kuwa na good service history, make sure anafanya service on time... awe anatumia the required oils, (for turbocharged Ni vizuri kutumia synthetic oils), incase ya funny sounds on the engine, kuzikagua na kuhakikisha unarekebisha.

Other than that, it's worth every penny!

Subaru, Confidence in motion
 
Nimependa ukweli wakoo...me foresta yenye turbo any time lazima nilipuke nayoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not by a long shot.

Sio hata cross-over, achilia mbali SUV.

Harrier, Kluger, tena mpaka Prado kuna experts wanazi classify kuwa ni cross-over, yani hazijaficha kuitwa SUV. Sasa Forester na Harrier ipi kubwa?
Prado sio crossover aisee, cross-overs hazina body in frame designs ila fully sized SUV ni body in frame. Pia SUV zina 3 row seating.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…