Kaka jibu swali maana iyo chassis namba hapo ni ya subaru kabisaaaaaaa
Mimi nimekuelewa !!okay nitasema hivi, hata kama ni nani kasema..subaru zina symmetrical all wheel drive (Awd) ila kwenye kutaja specs hao sellers ( kama befoward) huwa wanaweka tu 4wd kutofautisha na normal 2wd , but in details hiyo 4wd ya subaru ni Awd..sijui nimeeleweka..!
Utakuwa chalii la chugga wewe..! Gari kwenu bado ni matangazo mtaaniReason:
- Napenda gari yenye kasi na stable
- Ni imara
- Ina options zote comfortability na sporty
- Ni SUV ina nafasi kubwa ndani
- Body shape yake inavutia kuanzia mbele, ubavuni na nyuma
- BOV Sound ndio ugonjwa wangu
- Manual Transmission with turbo ndio favourite choice
- Iwe kwenye lami au vumbi kote inapeta tu
Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari hii kwa muda mrefu...so nimeamua kuiwekea dream hii katika plan, ninadunduliza kidogo nikipatacho na Mungu akijaalia mwakani ninayo.
View attachment 548937 View attachment 548938
hiyo picha umeitoa wapi..subaru hazina 4wd bali zina Awd which is more efficient than 4wd
Hivi Viatu vinauzwa Sana ulaya huku bongo hamnaHow much
Eti Wanawaamini maelezo ya be forward kuliko watengeneza subaru wenyewe.
Imebidi niwaache waendelee tu kuwaamini be forward,trade car view etc.
wewe leta hayo maelezo ya watengenezaji subaru... kama sisi tulivyo kuwekea ushahidi wa hizo details kutoka kwenye website ya kuuzia magari... pia nimeambatanisha na awards za subaru soma nilipo weka hizo mark.. utaona imekuwa awarded kama 4wd car!!
Pia sijui unajua kuzitofautisha AWD na 4WD?
View attachment 1108343
Braza sikuletei maelezo hata kiduchu,we amini endelea kuamini subaru ni 4wd na nenda kainunue.
Enjoy.
Endelea na hizo takataka zako,wengine tulishatoka huko muda mrefu.ndio huwezi leta maelezo yoyote kwasababu subaru hauijui nyie ndio wale wa kusikia story za gari flani kwenye vijiwe then unajifanya kuijua...
NB:sio nikainunue ninayo na hii ni ya tatu since 2012.. so napo kuambia kitu uelewe kwamba naeleza kitu nachotumia mzee..
Endelea na hizo takataka zako,wengine tulishatoka huko muda mrefu.
Ni kweli aisee nasumbuliwa na subaru zenye 4WD,hahah.Asante sana!! Ngoja tuendele nazo coz mwisho wa siku subaru sio gari ya kila mtu!! so we endelea na hizo gari zako ambazo sio takataka...
Cha ajabu ni unaziita takataka sasa ulicomment nini kwenye takataka!!?
au
NI WIVU TU UNAKUSUMBUA?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho ni chombo cha udongo bro(kitakaa kabatini kusubiri wageni waje).Kuna chombo moja Toyota Rush mnaizungumziaje
Hicho ni chombo cha udongo bro(kitakaa kabatini kusubiri wageni waje).
Subaru ni tofauti kabisa na IST uliyoizoeaNdugu members samahani mi sina ujuzi saana na magari, Kuna jamaa anataka kuniuzia gari aina ya SUBARU Forester kwa gharama 14M, Ina cc 2000, Kwa mwenye uzoefu wa hizi gari hasa, ulaji mafuta, vipuli, na matatizo mengineyo nomba mnisaidie. Nawasilisha hoja.