Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka
mwisho wa makala hii

Zamani ilizoeleka ku-unlock Modem hadi udownload Software kwenye Pc yako kisha ya watu ndo waweze kugenerate MODEM
UNLOCK CODE. Lakini kwa sasa imekuwa rahisi kwa sababu kuna tovuti kibao ambazo zinatoa MODEM UNLOCK CODE ambayo wewe unahitajika kutoa IMEI ya
MODEM tu.

Hatua za ku-unlock Modem

1.Angalia IMEI ya modem yako kisha iandike chini au kwenye karatasi

2.Fungua link hii A-ZGSM.COM - ONLINE UNLOCK CODE CALCULATOR

3.Baada ya kufungua hiyo link utaonasehemu ya iliyoachawa wazi hapo uwekaIMEI ya Modem kisha utabofya kwenyekitufe cha CALCULATE

4.Baada ya ku-calcute utapata Unlock Codezako, Mfano: Unlock: 37661250 or NCK =
37663240

Hatua zinazofuata

1.Baada ya yote unatakiwa kutoa Sim card
na Kuweka Sim Card tofauti kwa mfano
kama ulikuwa unatumai ya Tigo unatakiwauweke Airtel kisha chomeka kwenye PC
yako .
2.Subiri kidogo , utaona Pop Up imekujakisha itaku-request for Unlock Code, KishaUtaingiza Code ulizo Generate , mfano
37661250 alafu click kwenye OK.

3.Hongera!, Modem yako isha-unlockiwahapo utaweza kutumia kwenye Sim Card Yoyote!

Note:
Njia hii ni kwa Modem za Huawei tu

Kwa habari mbalimbali za teknolojia maujanja......Tembelea BONGO TECHNO

IMEI: 869907021662404
This is your codes:
» Unlock code: 36145871
» Flash code: 53237513
Have fun!

Imegoma huawei 4G Tigo
 
as

asante
 
Hiyo njia ina function sana kwenye modem za zamani siku hizi walishagundua hazileti option hiyo
 
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka...
Nina router ya huawei lkn inatumia voda pekee vp yaweza unlocked
 
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka...
Sasa mkuu ungeonaje utupe na maelezo ya hyo app unayoiweka kweny PC ili Ku unlock moderm kama njia hii ikikataa?
 
Kama kichwa kinavyojieleza waheshimiwa wataalamu naomba msaada wa Ku unlock modem ya vodam K3772-Z Maan nimechok tumia lain moja tyuu
 
Habari Wakuu,

Msaada jinsi ya ku unlock modem model ZTE MF 671 ya Halotel, niweze kutumia laini za aina nyingine.
 
Msaada hii Huawei E8231 airtel wingle inaniletea wenge hapa..
modem.JPG

any trick to unlock?

Mwl.RCT Njunwa Wamavoko UncleUber
 
kuna sehemu inataka niweke user name.. hapa nimpa nifugue ac ya dc-unlocker au? [HASHTAG]#mwl.rct[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom