Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

9f24c8814c68aac65a3fdf1fa3e24582.jpg
 
IMEI: 867638020583406
Unlock : 51671359 or 20722254 or 37152992
Flash: 61021378
solution ni kubadili firmware hapo kwako upgrade firmware ina 80mb
naweza pata download link ya hiyo firmware?
 
na je hiyo firmware inaingia kwenye modem nyinginezo hata kama sio E303?
 
Natumaini mko poa wan JM naomba msaada wa kuunlock iyo moden e303 ya huawei inasoma VODACOM
 
wakuu.
vipi kuhusu ku-unlock modem ya vodacom zte k3772-z

anayejua hii mambo
 
Mahitaji
# Huawei Modem Unlocker | http://pc.cd/3jmctalK | Size 30Kb { link updated March 17,2016 }
# Firmware Ichukue hapa | http://goo.gl/5fJlJp |au Tumia http://pc.cd/HRhctalK Size 13.5Mb

Jinsi ya kufanya
# Install drivers za Huawei E303H kwa ku_install software ya modem
# Kama umeweka laini tofauti katika modem utajitokeza ujumbe huu
Y8Z5AC

# Click OK, kisha funga software ya modem

# Fungua huawei unlocker, hakikisha imesoma IMEI number, kisha click CALCULATE
7zKxyM


# Nakili [Copy] FLASH CODE zitatumika hatua inayofuata
# Fungua Firmware kicha click start
9BVBt0

# Hapo kwenye "password" weka FLASH CODE uliyonakili awali, Subiri utajitokeza huu ujumbe
2HzfKX

[HASHTAG]#Hapo[/HASHTAG] umefanikiwa ku_unlock modem yako ya HUAWEI E303H
ojYxMe

# Enjoy
:cool2::cool2::cool2:
CC| Kaa la Moto kimox kimkole PHILIPP DONIE CORAL nurbert



aise msaada na me modem e 303 huawei ya voda na me nafanyeje
 
Back
Top Bottom