Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Je hii ya Zantel inawezekana ku I unlock.
MODEL: Huawei EC122
 

Attachments

  • 1467089632019.jpg
    1467089632019.jpg
    60 KB · Views: 77
Namimi yangu ni hii nataka itumie mtandao yote LTE STICK HUAWEI E 3372 CE0197
weka line ambayo inadai unlock code yaan mtandao tofauti km inadai code ikifunguka tupia imei hapa na km ina zero countss soma firmware kwa dc unlocker useme ni 21 o 22
 
Ni huawei wingle wifi za Airtel hizi mpya.. Inatumia browser kuiconnect..
Model yake ni: E8231
Imei:867638020583406
Ukiweka lain tofaut inadai SIMLOCK CODES...msaada plzzzz
Chaajabu nikiweka different simcard inaonyesha 0 attempts remaining wkt nimeifungua mwnyewe jana, dc-unlocker inagoma!
Mafundi wanaJF msaada wenu!
IMEI: 867638020583406
Unlock : 51671359 or 20722254 or 37152992
Flash: 61021378
solution ni kubadili firmware hapo kwako upgrade firmware ina 80mb
 
Msaada hizi 4G tigo mifi.

Naweza vipi ku flash???
 
Back
Top Bottom