Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

wakuu modem ya halotel nayo vipi kuna ambaye tayari amei'crack tupeane maujanja?
 
Wingle mara ya mwisho nlikomaa lakini inaonekana haijapatiwa namna ya ku reset counter, na hapo ndipo utakapo kwamia. Ka kuna mtu kaweza atujuze
 
Namimi yangu ni hii nataka itumie mtandao yote LTE STICK HUAWEI E 3372 CE0197
 
HUU APA
Download DC-unlocker software. Unlock supported phones and modems
Huawei_modem_detect22.png

Dc+unlocker+-+unlock+modem.png
NENDA SEHEMU ILIYO ANDIKWA UNLOCKING
1_127.png
Hiii haitaji kununuliwa?
 
download DC unlocker igoogle unapatkana google...
 
  • Thanks
Reactions: GTA
Back
Top Bottom