Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Habari wakuu, natumia modem ya tigo lakini mara nyingi huwa siitumii kwa sababu tigo wako na gharama afu MBs ni ndogo Sana.

Hivyo nalazimika kutumia TTCL or HALOTEL, hivyo naomba msaada Kama Kuna app ya PC inayowezesha modem kutumia MTANDAO wowote kwenye internet Mana hii modem watu wameishindwa kuicrack.. wakuu
 
Soma kwenye link nilokuwekea hapo juu may be itakusaidia.
 
Software ya Nokia PC Suite waliozungumzia hao jamaa unaeza pakua hapa>>> http://dl2.filehippo.com/6d4c8d1a29...194303&token=cd67751323ca29c33fa664ea48965c91
 

weka hapo model number full yaani kama ni zte au huwai n.k

tunaomba kwa analie ielewa vizuri sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 je kuchakachua au ku unlock modem ni kosa na adhabu ni ipi kabla hatujamsaidia mwenzetu kuhusu ku unlock permanently modem yake
 
Best solution Tumia simu Yako kuunganisha internet kwenye PC Yako ni rahisi zaidi ya kutumia moderm
 
Huawei model: E173u-1 msaada mkuu
 
Niko na modem za kampuni ya huawei 2 lakin zote ziko locked. Zinatumia line moja tu.
mwenye kujua namna ya kuunlock tafadhali naomba msaada wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…