Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Habari,

Naomba msaada kuanlock Huawei tajwa kwa ni inatumia airtel pekee na nilipo hakuna 3g enhanced ya airtel.

Wasalaam.
 
maana nina kitu cha airtel zte kinazingua kinyama hakitaki laini nyingine.
 
Achana na modem tumia sim yako kama wireless network
Scroll down kwenye sim yako upate ukurasa ule wa data, Bluetooth na wifi
Utaona Kuna kitu kinaitwa hotspot then utajiunga kuhusu namba ya siri ni yoyote utakayotaka ili kuepuka watu kutumia network yako. Asante.
 
modem ina umuhimu wake na simu pia ina umuhimu wake. Net ya simu, kuna wakati inaweza kukata au kupungua speed pale unapopokea simu au kutuma sms na vile vile ukumbuke bando linaenda kote kote

Km unaenda sehemu, utaacha simu? Modem, simu na router zote zina umuhimu.
 
modem ina umuhimu wake na simu pia ina umuhimu wake.
Net ya simu, kuna wakati inaweza kukata au kupungua speed pale unapopokea simu au kutuma sms na vile vile ukumbuke bando linaenda kote kote

Km unaenda sehemu, utaacha simu?
Modem, simu na router zote zina umuhimu.
Ok sawa nimekuelewaa mkuu
 
Wakuu Habarini!
Nimekwama Hapa Jinsi Ya Ku Unlock Hii Modem Ya Huawei E300 Ambayo Sasa Inatumia Laini Ya Tigo Tu! Nahitaji Itumie Laini Zote

Nishafanya Haya:

1. Nilidowload dc Unlocker Cracked Version!
Nikafollow Step Zote! Tabu Inakuja Kwenye Detection Ya Modem! Ujumbe Unaokuja Ni " Datacard Not Detected"

2. Nishajaribu Kubadili USB Port, Kubadili Laptop, Ku Unistall Na Ku Install Upya Modem Software Ila Bado Tatizo Linakuja Kweny Detection Wowote Anaeweza Kunisaidia???

Natanguliza Shukurani. [emoji122]
 
Kuwa makini sana weka driver za moderm ili upate detection kwanza ya mawasiliano
 
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka
mwisho wa makala hii...
Mkuu hiyo trick ni ya miaka ilee ilikuwa inatumika kwa huawei zinazoomba unlock code ila modem nyingi Siku hizi Zina customized firmware so hizo code zinatumika wakati wa kuflash
 
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka...
Unajua kutangaza biashara niyakuja kwa kitu kingine
 
Back
Top Bottom