Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
# Firmware http://goo.gl/5fJlJp |au Tumia http://pc.cd/HRhctalK Size 13.5Mb imekataa kufunguka inaniomba program ya kuifungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni file la Rar au zip km sikosei. Tumia Winrar au 7zip kuextract.nime download # Firmware Ichukue hapa | http://goo.gl/5fJlJp |au Tumia http://pc.cd/HRhctalK Size 13.5Mb haifunguki ku install imekataa inaniomba program ya kuifungua. mm natumia window 8 msaada wa kuifungua au ku run
modem ina umuhimu wake na simu pia ina umuhimu wake. Net ya simu, kuna wakati inaweza kukata au kupungua speed pale unapopokea simu au kutuma sms na vile vile ukumbuke bando linaenda kote koteAchana na modem tumia sim yako kama wireless network
Scroll down kwenye sim yako upate ukurasa ule wa data, Bluetooth na wifi
Utaona Kuna kitu kinaitwa hotspot then utajiunga kuhusu namba ya siri ni yoyote utakayotaka ili kuepuka watu kutumia network yako. Asante.
Ok sawa nimekuelewaa mkuumodem ina umuhimu wake na simu pia ina umuhimu wake.
Net ya simu, kuna wakati inaweza kukata au kupungua speed pale unapopokea simu au kutuma sms na vile vile ukumbuke bando linaenda kote kote
Km unaenda sehemu, utaacha simu?
Modem, simu na router zote zina umuhimu.
Mkuu hiyo trick ni ya miaka ilee ilikuwa inatumika kwa huawei zinazoomba unlock code ila modem nyingi Siku hizi Zina customized firmware so hizo code zinatumika wakati wa kuflashHabari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka
mwisho wa makala hii...
Nataka hii modem iwe inatumia lain ya VodaCom coz voda wananipa GB 5 kwa 2000 mwez mzima ila tigo sasa dah wananila sana hela zanguKaka mbona hiyo modem ni ya kitambo sana?...
Unajua kutangaza biashara niyakuja kwa kitu kingineHabari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka...