Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

nimeenda hapo nimeweka ila bado inazkngua modem yangu ni tgo huawei E303 [me] ni 864567015776639

sio kila modem inakua Unlocked kwa hiyo njia hiyo ni specifically kwa Huawei E173 za Vodacom

Hamna Njia haijawai kuelekezwa humu Juu ya ku Unlock modem

Je yako ni Huawei E303s-1 au E303h-1

E303s-1
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/303310-finally-huawei-e303-unlocked.html

E303h-1
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...i-ya-ku-unlock-modem-ya-tigo-huawei-303h.html

Hakikisha Model jabla ya kufata maelezo

Enjoy😛oa
 
Mkuuu na vodacom E303 unanisaidiajeeeee??? Hlp plz
 
Mkuuu na vodacom E303 unanisaidiajeeeee??? Hlp plz
 
Mm yangu jana nmejaribu ku-unlock imeenda mpk mwisho ku update firmware ikaleta error na modem imegoma tena kusoma
 
Ngoja niwahi chap kuiunlock maana niliipaki kwenye bag baada ya kuona net iko slow kuliko mwendo wa konokono
 

Attachments

  • modem2.jpg
    29.1 KB · Views: 69
Wakuu msaada modem ya vodacom E303
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…