Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Kitu kinacheza 400Kbps hicho pia unaweza kuishia 300KbpsMKuu sio mbaya me hata nikiwa speed ya MB 1 sio mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu kinacheza 400Kbps hicho pia unaweza kuishia 300KbpsMKuu sio mbaya me hata nikiwa speed ya MB 1 sio mbaya
sijaigusa kabisa mkuuHiyo mkuu usije ukajaribu kuweka code yyte ambayo haiwezi kuunlock.
Umeangalia remaining attempts? Zipo 0 kwahiyo onana na wenye ujuzi waifanyie kazi.
Km uliichezea ikaandika 0 basi hayo maandishi mekundu yanakuhusu
mwongozo wako unahitajika kama vile link ya firmware husika na maelezo yakujitosheleza itapendeza chifuTafuta firmware nzuri ya Ku unlock kitu simple
kiongozi hiyo pop up haiji, inakuja meseji kuwa sim card so sahihiHabari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka..
change firmware.Tupe ujuzi. Umefanyaje?
Nifahamishe na mm ninayo nilijaribu kuweka lain ikagoma !Riziki ya mbwa ipo miguuni kwake, finally imekubali
siwezi sema nakupa full procedure kwa maana mimi sio profession kwenye hizi mambo, nili jaribu kila firmware nilio hisi itawezafaa, nilitafuta firmware kwa kugoogle modem husika ambayo ni E8231s-1 nikaipata hapo (india) E8231s-1.Mbona unajibu short sana mr. Ok. Hiyo firmware naichange vipi.
Nipe procedures. A-z
Msaada mm nimefanikiwa mpaka kupata new & old hash,ila code writer hai-detect ili iaa accept !siwezi sema nakupa full procedure kwa maana mimi sio profession kwenye hizi mambo, nili jaribu kila firmware nilio hisi itawezafaa, nilitafuta firmware kwa kugoogle modem husika ambayo ni E8231s-1 nikaipata hapo (india) E8231s-1
kisha nikatafuta Unlock code kwa kuingiza imei ya modem husika hapa New Algo | Huawei Unlock Code Calculator (New / Old Algo) hizo zitakusaidia pindi utakapo ombwa password baada ya kuirun hiyo Firmware ulioidownload mwanzo. NI RISK SANA KAMA HAUNA UJUZI WOWOTE, Kama kuna member wenye uelewa zaidi watashusha elimu fresh.
inaonekana hii modem ni janga, maana watu wanapita mbalii... hawana maneno ya kuweka.Acha niwahi kiti cha mbele tumsubiri *Chiefu mkwawa# aje huku maana kwenye mambo hayo kidogo alibarikiwa
Kuchakachua modem za Zantel ni ngumu sana. Hawa jamaa kweny upande wa modem wamebana sanainaonekana hii modem ni janga, maana watu wanapita mbalii... hawana maneno ya kuweka.
Si unajua wapemba tena, mixer ushirikinaKuchakachua modem za Zantel ni ngumu sana. Hawa jamaa kweny upande wa modem wamebana sana