Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Msaada jinsi ya ku unlock modem hizi za airtel Wingle ili iweze kutumia mitandao yote
Huawei model; E8231s-1

Nimejaribu kuweka line ya mtandao husika inadai NO SIMCARD, Pia nikiweka line tofauti na mtandao husika inanipa ujumbe

The device has been locked. Contact your ISP to obtain the SIMLOCK code. Enter the correct SIMLOCK code to unlock the device. If the remaining number of unlock attempts is 0, the device will be permanently locked.

na nimeifungua mwenyewe kwenye box lake.
msaada wakuu.

Capture.PNG
 
Hiyo mkuu usije ukajaribu kuweka code yyte ambayo haiwezi kuunlock.
Umeangalia remaining attempts? Zipo 0 kwahiyo onana na wenye ujuzi waifanyie kazi.
Km uliichezea ikaandika 0 basi hayo maandishi mekundu yanakuhusu
sijaigusa kabisa mkuu
 
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka..
kiongozi hiyo pop up haiji, inakuja meseji kuwa sim card so sahihi
 
Riziki ya mbwa ipo miguuni kwake, finally imekubali
Capture2.PNG
 
Mbona unajibu short sana mr. Ok. Hiyo firmware naichange vipi.
Nipe procedures. A-z
siwezi sema nakupa full procedure kwa maana mimi sio profession kwenye hizi mambo, nili jaribu kila firmware nilio hisi itawezafaa, nilitafuta firmware kwa kugoogle modem husika ambayo ni E8231s-1 nikaipata hapo (india) E8231s-1.

kisha nikatafuta Unlock code kwa kuingiza imei ya modem husika hapa New Algo | Huawei Unlock Code Calculator (New / Old Algo) hizo zitakusaidia pindi utakapo ombwa password baada ya kuirun hiyo Firmware ulioidownload mwanzo. NI RISK SANA KAMA HAUNA UJUZI WOWOTE, Kama kuna member wenye uelewa zaidi watashusha elimu fresh.
 
siwezi sema nakupa full procedure kwa maana mimi sio profession kwenye hizi mambo, nili jaribu kila firmware nilio hisi itawezafaa, nilitafuta firmware kwa kugoogle modem husika ambayo ni E8231s-1 nikaipata hapo (india) E8231s-1

kisha nikatafuta Unlock code kwa kuingiza imei ya modem husika hapa New Algo | Huawei Unlock Code Calculator (New / Old Algo) hizo zitakusaidia pindi utakapo ombwa password baada ya kuirun hiyo Firmware ulioidownload mwanzo. NI RISK SANA KAMA HAUNA UJUZI WOWOTE, Kama kuna member wenye uelewa zaidi watashusha elimu fresh.
Msaada mm nimefanikiwa mpaka kupata new & old hash,ila code writer hai-detect ili iaa accept !
 
kama unajua jinsi ya ku unlock modem ya zantel 4G, iweze kutumia line zote, naomba maelekezo mkuu.
 
Acha niwahi kiti cha mbele tumsubiri *Chiefu mkwawa# aje huku maana kwenye mambo hayo kidogo alibarikiwa
 
Acha niwahi kiti cha mbele tumsubiri *Chiefu mkwawa# aje huku maana kwenye mambo hayo kidogo alibarikiwa
inaonekana hii modem ni janga, maana watu wanapita mbalii... hawana maneno ya kuweka.
 
Back
Top Bottom