MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
hongera ntakutafuta na mimi unipe maujuzi
kazi bado sijaacha kwani nimepandishwa cheo na mshahara ukaongezwa from 900k to 1.3M, BADO NAFANYA KAZI NA BADO NALIMAMiss Naire naomba kukuuliza kwa faida hiyo umerudi kwenye utumwa na umaskini wa kuajiriwa au uko shamba!?
maji ukisha lipa kwa bodi ya mferegi ni uhakika kila wiki unapata,Hongera mkuu. Inaelekea usimamizi ulikuwa mzuri maana nduruma kunafigisu sana kwenye issue ya maji pamoja na wizi.
Je, hudhani kuwa anaweza kuwa muuza mbegu za tikitimaji aina ya pundamilia?Aisee kilimo kinalipa kweli
Mwaka jana nilipanda mahindi ila mazao haya kunifurahisha ata kidogo. Shamba lako lilikuwa karibu na mto?maji ukisha lipa kwa bodi ya mferegi ni uhakika kila wiki unapata,
kazi bado sijaacha kwani nimepandishwa cheo na mshahara ukaongezwa from 900k to 1.3M, BADO NAFANYA KAZI NA BADO NALIMA
asante kwa sasa nimelima tena nyanya, na matikiti tena, nitaleta mejesho pia vikiwa tayariHongera, Mungu akutie nguvu na pia uzidi kututia moyo wengine humu JF tufuate mafanikio yako. Keep it up Miss Naire