MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

shamika,
Kuna thread humu itafute inahusiana na maswali na majibu yanayohusu kilimo tu hebu itafute mkuu, humo utapata na faida za ziada.
 
Uliikuwa na jumla ya matunda mangapi kwa eka moja?
Kwa wastani tikiti moja lilikuwa na uzito gani (kilo)?
 
nimepanda SUKARI F1
Miss Naire nimependa mrejesho wako na nimevutiwa zaidi kufahamu maeneo hayo ya Nduruma. Binafsi mwaka huu nina mpango wa kulima matikiti ila maeneo niliokua natafiti kulima ni Moshi, ila kwakua ninaishi Arusha nami nimevutiwa kulima hukuhuku. Ninaomba mawasiliano yako kwa msaada zaidi.
 
Niliufuatilia comments za watu humu mwaka jana 2017 nikasema na mimi nisibaki nyuma, ngja nikajaribu hichi kilimo ambacho wengine wanakisifia, na wengine wanasema wamepata hasara kuhusu hichi kilimo, na sasa nina elimu ya kutosha kuhusu kilimo hichi,
sio mjuzi sana wa kuandika makala lakini kwa uchache nitakaouandika unaweza kuwapa manufaa ama kuwa ka elimu kidogo,
kilimo cha matikiti kinahitaji ujitoleee sana, na sio kifedha tu kwamba unatoa fedha watu wanalima shambani, la hasha kujitolea usimamizi makini shamani,
iko hivi, wakati wa kupanda matikiti hupandwa ka mita tatu kwa moja kwa distance ya mche hadi mche na unatakiwa upande mmoja tu, na endapo ukapanda mbegu mbili hakikisha unafuatilia kuungóa mwingine kama itaota yote, pili pindi maua yanapoanza kuchanua hakikisha unabakisha maua manne tu kama si matano ambayo ndio yataleta matikiti katika kila mmea,
usimamizi wa kupiga dawa kila baada ya muda, KUMBUKA, mdudu mmoja akishaanza kula tikiti moja tu shambani ndugu umekwisha, kazi itakuwa ngumu sana kuzuia tena, wanasema kinga ni bora kuliko tiba, hakikisha sumu ya wadudu unapiga kila mara, pili kumekuwa na danganya danganya nyingi kwamba matikiti yanataka maji mengi, la hasha yanahitaji maji mengi kweli lakini sio ya wingi wa kuzidi,

kinachowashinda watu ni usimamizi wa kilimo hichi,
Kimenipa faida kidogo kwa hekari mbili nilizolima na sasa ndio kilimo changu ninafyeka shamba langu jipya la hekari 10 kwa ajili ya matikiti tu, karibuni shamba nikija mjini nitawakaribisha katika vikao vya viti virefu,!

ukitaka elimu zaidi nipm tu nitakupa elimu kulingana na eneo unalotaka kulima, pia msisahau kusoma vitabu vya kilimo, hasa vya matikiti, mjini hali imekaza, NJOONI TULIME
 
Niliufuatilia comments za watu humu jf, kuhusu kilimo cha matikiti mwaka jana 2017 nikasema na mimi nisibaki nyuma, ngja nikajaribu hichi kilimo ambacho wengine wanakisifia, na wengine wanasema wamepata hasara kuhusu hichi kilimo, na sasa nina elimu ya kutosha kuhusu kilimo hichi,
sio mjuzi sana wa kuandika makala lakini kwa uchache nitakaouandika unaweza kuwapa manufaa ama kuwa ka elimu kidogo,
kilimo cha matikiti kinahitaji ujitoleee sana, na sio kifedha tu kwamba unatoa fedha watu wanalima shambani, la hasha kujitolea usimamizi makini shamani,
iko hivi, wakati wa kupanda matikiti hupandwa ka mita tatu kwa moja kwa distance ya mche hadi mche na unatakiwa upande mmoja tu, na endapo ukapanda mbegu mbili hakikisha unafuatilia kuungóa mwingine kama itaota yote, pili pindi maua yanapoanza kuchanua hakikisha unabakisha maua manne tu kama si matano ambayo ndio yataleta matikiti katika kila mmea,
usimamizi wa kupiga dawa kila baada ya muda, KUMBUKA, mdudu mmoja akishaanza kula tikiti moja tu shambani ndugu umekwisha, kazi itakuwa ngumu sana kuzuia tena, wanasema kinga ni bora kuliko tiba, hakikisha sumu ya wadudu unapiga kila mara, pili kumekuwa na danganya danganya nyingi kwamba matikiti yanataka maji mengi, la hasha yanahitaji maji mengi kweli lakini sio ya wingi wa kuzidi,

kinachowashinda watu ni usimamizi wa kilimo hichi,
Kimenipa faida kidogo kwa hekari mbili nilizolima na sasa ndio kilimo changu ninafyeka shamba langu jipya la hekari 10 kwa ajili ya matikiti tu, karibuni shamba nikija mjini nitawakaribisha katika vikao vya viti virefu,!

ukitaka elimu zaidi nipm tu nitakupa elimu kulingana na eneo unalotaka kulima, pia msisahau kusoma vitabu vya kilimo, hasa vya matikiti, mjini hali imekaza, NJOONI TULIME
 
Boss vp kuhusu gharama, kwa heka mbili kuanzia kukodi shamba na shughuli za kuhudumia hadi wakati wa mavuno, nikiwa na 2millions, naweza toboa.
 
Safi sana Ndugu, mimi naamini ukitaka kufanya kitu usisikilize maneno ya kila mtu, tafuta wataalam au wazoefu. Na siku zote jua kwamba unapofanya kitu kuna mawili kupata faida au kupata Uzoefu.

Ila ndugu PM ni mbali sana ebu tumwagie vitu hapa hapa jukwaani.
 
hongera me hnalima heka 3 vp uliuzaje? uliuzia wap
 
ninashauku kubwa ya kufanya hiki kilimo na ninaimani Mungu atanitimizia shauku yangu AMEN
 
mkuu nimejifunza kitu hapa asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…