Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Really? Wewe kuanzia upate akili hilo tumbo lako tu pekee limekugharimu shilling ngapi mpaka umri huo ulionao? Au unakula vyuma?Chukua wastani wa walioajiriwa na wakulima ni wapi wenye nafuu kimaisha? Ukipata jibu rudi hapa utoe mrejesho.
Really? Wewe kuanzia upate akili hilo tumbo lako tu pekee limekugharimu shilling ngapi mpaka umri huo ulionao? Au unakula vyuma?
Hakuna biashara inayolipa duniani kama ya chakula na kilimo ndio chakula, huwezi kusema eti kilimo ni hasara kisa ulilima bila kutumia akili vizuri.
Wekeza katika kilimo cha miwa ya Sukari ekari 10 tu,hiyo pesa unarudisha ndani ya miez 13 tu.Habari yenu,
Nadhani hapa kuna wataalamu wa kilimo, nimepata sehem nataka nilime matikiti maji kwa kuangalia nimeona ndo biashara inayolipa haraka haraka,
Mtaji nilionao wa kuanzia ni 20,000,000 naomba ushauri wenu juu ya hatua za kufuata,
Wakulima wapi unawaongelea wewe? Au kwako tafsiri ya mkulima ni ipi?Kama kilimo kinalipa hivyo nini kinawafanya wakulima wawe masikini wa kutupwa?
Unachobisha ni kwamba hakuna mkulima aliefanikiwa Tanzania hata mmoja au ni mimi sikuelewi?Unaongea nadharia wakati mimi naongelea uhalisia. Nitajie jina la kijiji wanachotoka wazazi/babu zako nikaone haya mawazo yako. Vinginevyo ww ni muuza sura kama wauza sura wengine.
USIKURUPUKE,hakikisha unapata mtu ambaye keshawahi lima ndo awe taa yako,usiweke pesa yote shambani hasa na eka moja tu,hakikisha hilo shamba una uhakika nalo
Mkuu tuambie ulifeleli wapi.. Kwenye masoko au shambani?sio kupata mtu alolima tu mkuu
mimi nilikua nageuka pande zote 4 nipo na wataalam toka sua..nikafel..! tikiti sokoni bei zake utaweza lia...
Mkuu tuambie ulifeleli wapi.. Kwenye masoko au shambani?
Sent from my Hisense F31 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kwa sasa umeamua kuachana na kilimo au unalima kitu kingine.sokoni..nilipata matikiti meng na makubwa.. lakini sokon kunakatisha tamaa sana sana ...na nililima misimu yote mi4 aug navuna oct..!
nimeacha tikitiKwa hiyo kwa sasa umeamua kuachana na kilimo au unalima kitu kingine.
Tenga milioni 3 nikupatie heka 30 huku Lindi tulime korosho wote tuwe majirani mwa shamba languHabari yenu,
Nadhani hapa kuna wataalamu wa kilimo, nimepata sehem nataka nilime matikiti maji kwa kuangalia nimeona ndo biashara inayolipa haraka haraka,
Mtaji nilionao wa kuanzia ni 20,000,000 naomba ushauri wenu juu ya hatua za kufuata,
Makampuni mengi nchini yanajamba jamba tu tulikuwa tunawategemea TBL nao wapo hoi nchini.Bora hiyo fixed lakini hayo ya DSE ni majanga hizo faida za kampuni kugawa gawio jua wewe tu