Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Dah pole sana, may be ungekuwa mbali sana sasa hivi
 
Kuna mtanzania anajua kuchora hivyo? Nahitaji anichore
wapo tatizo ni kwamba wengi hawajulikani na sanaa Tanzania bado haijapewa kipaumbele ndio maana huwezi kuwasikia,Kuna mzee mmoja alikua akinifundisha kuchora anachora picha nzuri mno nina picha zake na sanamu alizotengeneza niliweka kwenye laptop ila bahati mbaya ipo mbali kuna Siku nitazileta humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole tu ndugu,

Lakini sasa Unaendleaje na kipaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…