Kibaoni singida
Member
- Jul 29, 2018
- 51
- 44
Hii namba nyingine jamaa namkubali sanaJamaa art zake sio za mchezoView attachment 1056150View attachment 1056151View attachment 1056152View attachment 1056153
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi binafsi ninajua sana kuchora by nature,sijachora miaka mingi sana,lakini ukinipa penseli na karatasi nyeupe nachora kirahisi kabisa,nilichora michoro fulani wakati nikiwa shule nilipata zawadi maalum na cheti,ila nilikosa wa kuniendeleza,hao wachoraji unaowaweka ningeweza hata kua zaidi yao,ninakuhakikishia.Ila wako vizuri sanaaaaaa.Hao wote wanafanya poa sanaa
Ila mm narudi nyumbani naona mnawapanba wachoraji wa nnje sana ila nyumbani kuna vipaji moto sanaa zaidi ya ivyo nalet apicha zao za ig hapa wanavipaji vikubwa kuliko hap wazungu na wagana nimechafua wachache mana mm napenda kuangalia vitu kama ivyo ila sijui kuchora
Sent from my iPhone using JamiiForums
2012 hiyoBila kuona picha ya kychorwa ya kiongozi mkuu wa sehemu inapojadiliwa mada mimi sichangii
Rafiki inaonekana unapenda sana michoro. Kumbe ningeendelea na uchoraji ungekua mteja wangu.Mimi najua kuchora aisee,wala sijisifu,lakini sikuendelea na uchoraji,niliingia fani nyingine kabisa,kuchora imo kwa damu yangu,hata sasa nikiamua kurudi sipati tabu kwani nilizaliwa mchoraji,ila wakubwa zangu hawakutaka nijikite huko.Ebhana eeeh! Namuona Big pussy( bonge la Paka)
Mkuu hivi soko la picha za kuchora likoje hapa TZ?Watu wapo,
Sema tu kufahamu ni fulani ndo Mchoraji itachukua muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua naweza sana hiyo kitu,basi tu.
Picha nzuri hadi natamani kurudi ulingoni.
Wachoraji Tanzania tunaangushwa na wazazi,walezi,ndugu na jamaaa,wengi wanaona kama kuchora sio taaluma,wakati makampuni yanaajiri wachoraji ili kubuni mabodi ya magari,bidhaa na vitu vingine.
Wachoraji Tanzania tunaangushwa na wazazi,walezi,ndugu na jamaaa,wengi wanaona kama kuchora sio taaluma,wakati makampuni yanaajiri wachoraji ili kubuni mabodi ya magari,bidhaa na vitu vingine.
Naona utofauti mkubwa sana kwenye hizi picha, nawapa credits wachoraji wote ila haswa ambao wamechora picha ya kiumbe au mth ambae sio copy yaan hajakaa akamchora Ronaldo mfano tu, ila amekaa amechora mkono tu ila unatoa maana zaidi hapo namuona msanii wa kweli. Kila dakika napitia hapa kutazama kazi nzuri always nina ndoto ya kua na picha kubwa ukutani kwangu ila sio ya mtu wala mnyama day moja nitamtafuta mtu anichoree yaani nikute umekaa ndani lakini kama uko msituni au ni kama uko baharini au unatazama kuzama kwa jua [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Few years from now you may wish you should have started today...
Mkuu hivi soko la picha za kuchora likoje hapa TZ?
Hata hivyo ikumbukwe kwamba pia kuna wachoraji TZ walitoboa wako mtoni wanakula bata.
Hapa ndo kuna tatizo,Rafiki inaonekana unapenda sana michoro. Kumbe ningeendelea na uchoraji ungekua mteja wangu.Mimi najua kuchora aisee,wala sijisifu,lakini sikuendelea na uchoraji,niliingia fani nyingine kabisa,kuchora imo kwa damu yangu,hata sasa nikiamua kurudi sipati tabu kwani nilizaliwa mchoraji,ila wakubwa zangu hawakutaka nijikite huko.
kweli kabisa,ingawa zamani wazazi wetu walikua wakinunua picha za kuchorwa hapahapa TZ,na kupambwa ndani,zilikua zikiuzwa mitaani tu,kwenye stendi za mabasi,railway na kwingineko,sasa hivi naona watu hawajihusishi tena na picha za kuchora sana,ila wageni ndo kwa sana,hasa mabebebru.Soko lipo,
Ila naona wazungu na watu kutoka mbali..
Au wenyr maisha ya juu ndo hununua au kujali sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wazazi wetu walikua hawajagundua kuwa kuna sehemu watu wamebadilisha maisha kabisa ya familia zao hapa duniani,ni mabilionea wakubwa kwa kuchora tu,Pablo Picasso etcHapa ndo kuna tatizo,
Familia zinataka daktari, mwalimu, rubani n. K
Sent using Jamii Forums mobile app