Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Na yeye anakuja kulalamika eti ana changamoto kwenye ndoa, nahisi hajawahi kukutana na changamoto huyu. Na angepata mke slay queen asiyejua kuprioritize mambo angekuja kulalamika tena.Kabisa ...she's so correct, kama jamaa anamchukia wife wake kwa maushauri kama haya atakuwa na kasoro si kidogo[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we jamaa ni comedian asee, kwamba unasubiri mchaga atoboe nawe uuunge tela, mkizipata anakudedisha haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787](jokeHehehe hilo ndilo ambalo linanifanya niendelee kubaki humu humu nkiishi kwa matumaini, japo pesa bila furaha ni sawa na bure kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikimuacha huyu sioi tena, maana si kwa stress hizi
Mgeni wa ndoa huyu teh!...kwanza mi naona kapata wife materialNa yeye anakuja kulalamika eti ana changamoto kwenye ndoa, nahisi hajawahi kukutana na changamoto huyu. Na angepata mke slay queen asiyejua kuprioritize mambo angekuja kulalamika tena.
Nikikwambia niliwahi kumtimua akaenda kwa sister huku ndoa hata mwezi haijafikisha sijui utaaminiKidogo mnoo... Yaan ni kama hujafanya kitu na huna experience, vumilia vumilia upate cha kuhadithia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwambia hata mimi...wife yuko ktk right track [emoji848]
Utaendeshaje gari halina bima ya laki halafu unaenda kuspend 120, 000...full kuendesha usiku[emoji1787][emoji23][emoji23]
Jamaa jipuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kasie mara useme uko single mara uko na Dad.
Sasa napata wakati mgumu maana nimepanda ua zuri la rose ili nikuletee...nalitunza sana ua hili.
Nimeweka jembe begani kwenda kuling'oa sasa maana sina cha kumshinda Dad, ukizingatia huko ulikotoka ilikuwa kama jehanam na sasa uko paradiso.
Hongera Dad wa Kasie
* No kusalimia wakwe
* Baba na mama wanasema kimya sana
*Nguo uliyovaa haijakupendeza
* Free kutoka out.
And you are here saying unawish kuvunja ndoa; kwa sababu hizo za hapo juu? Mpendwa hizo ni changamoto za kuvunja ndoa kweli; kweli? Aisee kuna watu wana changamoto, wewe unatania unless kuna mengine makubwa hujayasema
Weeeeee[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]....si ulimfanya mwenzako aonekane hajatulia sasa daaah!Nikikwambia niliwahi kumtimua akaenda kwa sister huku ndoa hata mwezi haijafikisha sijui utaamini
Na hapo nilikuwa namuonyesha kwamba mi huwa sipendagi ujinga akizingua kwao
Ushauri wako?
[emoji23][emoji23][emoji23] nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa[emoji23][emoji23][emoji23]..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia[emoji58][emoji58][emoji22][emoji22][emoji22]..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman[emoji23][emoji23][emoji23]..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi[emoji22]... !
Duuh [emoji13] ...hebu concentrate na mada mkuuHivi ukitaka umalize shida zooote ndio uspendi inawezekana kweli? witnessj tukubaliane tu wengi wetu na hata wewe sometime (na inawezekana most of the time) unajitoa ufahamu na kuspendi hata kama gari inahitaji matairi. life is too short...
Haahaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we jamaa ni comedian asee, kwamba unasubiri mchaga atoboe nawe uuunge tela, mkizipata anakudedisha haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787](joke
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohooooo[emoji849][emoji849][emoji849]sasa hayo unayoficha ndo majanga mkuuYani hivyo ni vitu vidogo vidogo sana, hizo siyo mbona zinavumilika tu, zipo zile ambazo hata kama humu hatujuani lakini bado ni aibu kwangu kuziweka humu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haaaahaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]...hutujui wanawake tuna mbinu asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Athubutu, nshajipanga kwenye hili, kama nilipotea njia wakati wa kwenda siwezi potea tena wakati narudi labda niwe kilaza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh..! Hii ndoa ikifikiasha mwaka sijui...!!!?!Yani hivyo ni vitu vidogo vidogo sana, hizo siyo mbona zinavumilika tu, zipo zile ambazo hata kama humu hatujuani lakini bado ni aibu kwangu kuziweka humu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa unasema hautaki ndoa hicho unachofanya ni kitu gani hapo?! Binadamu wa sasa akili zenu ndio maana yesu atarejea kuja kutunyuka pumbavu kabisa.....
Yaani mfano wake ni kama useme hautaki kuoga halafu una nawa miguu, mara kichwa, mara umenawa mikono, mara umepitisha maji mgongoni , sasa ndio nini hicho, si uoge tu hata kama unaogopa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohooooo[emoji849][emoji849][emoji849]sasa hayo unayoficha ndo majanga mkuu
Ungayaweka hapa ili yawe solved ungepata ahueni na kujua ufanyaje na labda kujikuta kuwa kumbe haupo peke yako...nakushauri funguka mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]...mnyakyusa nini wifi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapiga roba twin[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo wana nini witty [emoji28][emoji28][emoji28]