Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Kabisa ...she's so correct, kama jamaa anamchukia wife wake kwa maushauri kama haya atakuwa na kasoro si kidogo[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye anakuja kulalamika eti ana changamoto kwenye ndoa, nahisi hajawahi kukutana na changamoto huyu. Na angepata mke slay queen asiyejua kuprioritize mambo angekuja kulalamika tena.
 
Hehehe hilo ndilo ambalo linanifanya niendelee kubaki humu humu nkiishi kwa matumaini, japo pesa bila furaha ni sawa na bure kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Haahaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we jamaa ni comedian asee, kwamba unasubiri mchaga atoboe nawe uuunge tela, mkizipata anakudedisha haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787](joke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na yeye anakuja kulalamika eti ana changamoto kwenye ndoa, nahisi hajawahi kukutana na changamoto huyu. Na angepata mke slay queen asiyejua kuprioritize mambo angekuja kulalamika tena.
Mgeni wa ndoa huyu teh!...kwanza mi naona kapata wife material

Maslay queen angedata na kukimbia ndoa kabisa[emoji23][emoji23]...wanajua kula hawajui kutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemwambia hata mimi...wife yuko ktk right track [emoji848]

Utaendeshaje gari halina bima ya laki halafu unaenda kuspend 120, 000...full kuendesha usiku[emoji1787][emoji23][emoji23]

Jamaa jipuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi ukitaka umalize shida zooote ndio uspendi inawezekana kweli? witnessj tukubaliane tu wengi wetu na hata wewe sometime (na inawezekana most of the time) unajitoa ufahamu na kuspendi hata kama gari inahitaji matairi. life is too short...
 
Sasa Kasie mara useme uko single mara uko na Dad.

Sasa napata wakati mgumu maana nimepanda ua zuri la rose ili nikuletee...nalitunza sana ua hili.

Nimeweka jembe begani kwenda kuling'oa sasa maana sina cha kumshinda Dad, ukizingatia huko ulikotoka ilikuwa kama jehanam na sasa uko paradiso.

Hongera Dad wa Kasie

Dadii wa Kasie pokea hongera zako hukuu.

Mie sijaolewa kwa maana ya kwamba sikuwahi kuolewa kabla na baada ya kukutana na Dadii hatujaoana bali tuko kwenye Mahaba mazito.

Nikisema niko single simaanishi sina mpenz bali sijafunga ndoa ila ninamilikiwa na Dadii.

Unamjua Dadii wewe hata useme huna cha kumshinda Dadii??!

Kwa kulitunza hilo ua ni wazi unapenda maua, ukilung’oa unakuwa umelikatili.... endelea kulitunza kwa upendo ulilo nalo.

Good Day to you.
 
* No kusalimia wakwe
* Baba na mama wanasema kimya sana
*Nguo uliyovaa haijakupendeza
* Free kutoka out.

And you are here saying unawish kuvunja ndoa; kwa sababu hizo za hapo juu? Mpendwa hizo ni changamoto za kuvunja ndoa kweli; kweli? Aisee kuna watu wana changamoto, wewe unatania unless kuna mengine makubwa hujayasema

Yani hivyo ni vitu vidogo vidogo sana, hizo siyo mbona zinavumilika tu, zipo zile ambazo hata kama humu hatujuani lakini bado ni aibu kwangu kuziweka humu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nikikwambia niliwahi kumtimua akaenda kwa sister huku ndoa hata mwezi haijafikisha sijui utaamini

Na hapo nilikuwa namuonyesha kwamba mi huwa sipendagi ujinga akizingua kwao
Weeeeee[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]....si ulimfanya mwenzako aonekane hajatulia sasa daaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa[emoji23][emoji23][emoji23]..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia[emoji58][emoji58][emoji22][emoji22][emoji22]..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman[emoji23][emoji23][emoji23]..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi[emoji22]... !

Ni ngumu kumshauri mtu wakati hujui anapitia hali gani, fuata amani ya moyo wako dear.
 
Haahaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we jamaa ni comedian asee, kwamba unasubiri mchaga atoboe nawe uuunge tela, mkizipata anakudedisha haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787](joke

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Athubutu, nshajipanga kwenye hili, kama nilipotea njia wakati wa kwenda siwezi potea tena wakati narudi labda niwe kilaza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani hivyo ni vitu vidogo vidogo sana, hizo siyo mbona zinavumilika tu, zipo zile ambazo hata kama humu hatujuani lakini bado ni aibu kwangu kuziweka humu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ooohooooo[emoji849][emoji849][emoji849]sasa hayo unayoficha ndo majanga mkuu

Ungayaweka hapa ili yawe solved ungepata ahueni na kujua ufanyaje na labda kujikuta kuwa kumbe haupo peke yako...nakushauri funguka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Athubutu, nshajipanga kwenye hili, kama nilipotea njia wakati wa kwenda siwezi potea tena wakati narudi labda niwe kilaza


Sent from my iPhone using JamiiForums
Haaaahaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]...hutujui wanawake tuna mbinu asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hivyo ni vitu vidogo vidogo sana, hizo siyo mbona zinavumilika tu, zipo zile ambazo hata kama humu hatujuani lakini bado ni aibu kwangu kuziweka humu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh..! Hii ndoa ikifikiasha mwaka sijui...!!!?!

Maana naona kuna vitu navimiss ukizingatia mwanamke mwenyewe kichwa ngumu, yaani afadhari angekuwa tayari kukusikiliza, yeye nikiwa namwambia kitu kama kumwelewesha ataanza ubishi na kuleta ujuaji


Nikimwambia usifanye hivi ye atafanya

Hakuwahi kufanya kosa akaomba msamaha, yaani yeye muda wote anajiona yupo sahihi, kukiri kakosea hilo kwake halipo

Nnampaango wa kumsafirisha aende kwao ili mi nipumzike,

Maana afadhari angekuwa yupo tayari kunisikiliza, yeye nikimwambia tuongee atanijibu yupo busy

Sa sijui mwanamke wa aina hii nitaishi nae vipi...!
 
Sasa unasema hautaki ndoa hicho unachofanya ni kitu gani hapo?! Binadamu wa sasa akili zenu ndio maana yesu atarejea kuja kutunyuka pumbavu kabisa.....

Yaani mfano wake ni kama useme hautaki kuoga halafu una nawa miguu, mara kichwa, mara umenawa mikono, mara umepitisha maji mgongoni , sasa ndio nini hicho, si uoge tu hata kama unaogopa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahhaha umeongea kama mjomba vile na babu yake Dadii anavyonsumbua Dadii aoe.....

Kuoa ni formality na jamii inakuwa inafahamu kuwa sasa Kasie na Dadii ni mke na mume rasmi.

Ila kama tu wapenzi, tunafanya yetu... ndugu w karibu wakianza kuhoji tunawaambia bado tunadate tukiwa tayari kuoana tutawaambia.....

Note that tunaishi / tunafanya kazi nchi mbalimbali hiyo hatuishi pamoja. Tunakutana kipindi cha vacation tuu, life is so sweet.... I love Dadii so much.

Kama haya maisha tunayoishi na Dadii ndo maisha ya ndoa basi, imebaki kubariki tuu serikalini na kanisani.
 
Ooohooooo[emoji849][emoji849][emoji849]sasa hayo unayoficha ndo majanga mkuu

Ungayaweka hapa ili yawe solved ungepata ahueni na kujua ufanyaje na labda kujikuta kuwa kumbe haupo peke yako...nakushauri funguka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya yatabaki sirini kwakweli , sipendi kuwafanya ambao hawajaoa wasioe mana ni mambo ya kuumiza sana, lakini all in all NDOA INA MATATIZO SANA, Ungeona nilivyoanza na makonfi, kila mahari hunikosi na wedding ring, hehehehe kwa sasa hata asubuhi ndani unatoka unanyata mana ukitoka yuko macho basi kasheshe lake lazima ofisin wapate story kutoka kwako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom