Mada maalum kwa wanandoa

Ukisoma comment za humu unaweza amini ndoa ni mbaya na zina mabaya kibao.

Ukileta thread ya kukandia ndoa watu watakupa pole kibao ila leta thread ya kusifia ndoa yako utakandiwa mpaka basi.
Eeeh wewe msifie mumeo/mkeo uwaone kina sheikh Yahya wa JF sasa. Hakuna maisha marahisi, hata ukiwa single bado kuna changamoto zake. Ni kumpata tu mtu ambaye mnaweza mkachukuliana changamoto zenu
 
Wacha mi niendelee kufunguka,

Huyu wangu kuna kipindi alikuwa ananipangia mpaka kunipa tendo la ndoa, nikamwambia "MI HUWA SIPANGIWI KAMA HUTAKI NATAFUTA MWANAMKE MWINGINE"

Akanijibu, "TAFUTA"

Nikamwambia,,"ILI NITAFUTE MKE MWINGINE WEWE NI LAZIMA UONDOKE HUMU NDANI MAANA MI NIMEOA ILI KUIKWEPA ZINAA HIVYO SIWEZI KUZINI HUKU NINA MKE WA NDOA"

Akakaa kimya hakujibu kitu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nikujua chanzo ca tatizo nini ongea na mke wajama ao jama mwenyew kwanza akwambie sababu ya yeye kupoteza uaminifu then mwanamke aeleweshwe kwamba njia iliyo sahihi ya kupata riziki ni kufanya kazi ataelewa tuu !
Inatokea kwa ndugu yangu hii. Mke wake hamuamini kabisa hataki mumewe atoke aende kutafuta riziki.
Mwanamke kila kukicha ni kulalamika tuu. Mara hichi Mara kile.

Suluhisho Hapa ni Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo ni ndoano sio ndoa kaka acha kuitusi ndoa ,,,!!!ndoa haipo kihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amenikosea mm ...yy anaomba msamaha na viapo juu tht atachange
Kama kakosea na kajutia kosa lake huna budi kumsamehe.....kumbuka hakuna mkamilifu

Bora kichaa uliyemzoea kuliko kichaa mpya hujui atakuponda na nyundo au kisu

Sijui ishu yako deep ila nahisi mpe second chance, mtu akiomba msamaha husamehewa kama vile wewe ukikosea unataka kusamehewa!

Samehe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loh pole, huyo mke likua naye kwa muda gani kabla hujamuoa?? Dini imesema mathna kuanzia wake wawili mkuu dawa ya mwanamke jeuri muongezee mwenzie atanyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…