Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Kama kakosea na kajutia kosa lake huna budi kumsamehe.....kumbuka hakuna mkamilifu

Bora kichaa uliyemzoea kuliko kichaa mpya hujui atakuponda na nyundo au kisu

Sijui ishu yako deep ila nahisi mpe second chance, mtu akiomba msamaha husamehewa kama vile wewe ukikosea unataka kusamehewa ukikosea!

Samehe!

Sent using Jamii Forums mobile app


Nimekupenda bure na ndio itakiwavyo
 
Wacha mi niendelee kufunguka,

Huyu wangu kuna kipindi alikuwa ananipangia mpaka kunipa tendo la ndoa, nikamwambia "MI HUWA SIPANGIWI KAMA HUTAKI NATAFUTA MWANAMKE MWINGINE"

Akanijibu, "TAFUTA"

Nikamwambia,,"ILI NITAFUTE MKE MWINGINE WEWE NI LAZIMA UONDOKE HUMU NDANI MAANA MI NIMEOA ILI KUIKWEPA ZINAA HIVYO SIWEZI KUZINI HUKU NINA MKE WA NDOA"

Akakaa kimya hakujibu kitu
Sawa mkuu nimekuelewa......kiufupi huyo ni kiburi na namuonea huruma coz hawajui wanaume vizuri tabia yao....ngoja unase huko mizungukoni ataita maji mmmaaaaaa[emoji2958][emoji2958]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loh pole, huyo mke likua naye kwa muda gani kabla hujamuoa?? Dini imesema mathna kuanzia wake wawili mkuu dawa ya mwanamke jeuri muongezee mwenzie atanyooka
Kama jamaa anayoyasema ni kweli hamsingiziii...bidada kiburi kimemjaa sasa sijui anajiamini vipi?

Au kamlisha shuntama mwenzie[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
Yaani unakumbushwa majukumu ya muhimu hivyo unalalamika? Ungempata ambaye anakuhimiza starehe nadhani ungeridhika loh
 
Hahaha mwenyewe nimeshangaa, mazungumzo ni ya kimaendeleeo kabia hata kama hana muda angetega sikio pengine mood ingekuja akachangia mawazo kumjibu sina muda sjui anapata wapi huo ujasiri yawezekana kamlisha haswa kuna wanaume hawajibiwi kunya yan hata ile argh unafikirja mara mbili kuisema
Kama jamaa anayoyasema ni kweli hamsingiziii...bidada kiburi kimemjaa sasa sijui anajiamini vipi?

Au kamlisha shuntama mwenzie[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah aisee kumbe tuko wengi sana, tatizo mimi dini hairuhusu, ila kama ningekuwa wa upande ule mapema tu ningerudia maisha yangu ya usela, yani burudani na furaha mda wote, no commitments, no stress, no ishu za leo tukasalimie wakwe, no ishu za baba na mama wanasema mbona kimya sana, no ishu za hiyo nguo uliyovaa haijakupendeza kaibadilishe, ukitoka out hauwazi kumkwaza mtu wala kuangalia angalia saa,
Dah aisee yaani hizo ulizoziorodhesha hapo ndio kero za ndoa yako? [emoji23][emoji23][emoji23] Nicheke tu kwa kweli.
Halafu unaishi kwaajili ya dini utapata taabu sana hapa duniani.
 
Huyu nilikuwa nae miaka minne kabla ya ndoa,

Alikuwa akiishi kwao katika kuruka ruka nikampachika ujauzito ikabidi niende kujitambulisha kwao na kuanza taratibu za ndoa

Alipojifungua na mtoto alipofikisha mwaka mmoja na nusu tukafunga ndoa ndo tunaishi wote hivi sasa

Kipindi hicho chote alikuwa akikosea anakiri na tunayamaliza maishaa yanaendelea ila sasa jeuri imezidi, alikuwa akinijibu jeuri mbele ya wifi yake maana mwanzo nilikuwa nikimwambia wifi yake alikuwa anamtetea sasa siku aliponijibu hovyo mbele yake alimkataa (yaani Dada alipanic kaka yake nadharirishwa)
Mimi nikamwambia mwanamke,"JIANDAE KESHO KWENU" hapo akawa mpole ghafla na huruma juu

Kinachonigharimu huwa napend3a kutumia busara yaani huwa sijisikii vizuri kupiga mwanamke ila ikafikia kipindi uvumilivu unanishinda kama binadamu nampiga haswa kutokana na maneno yake ya kukera,
Loh pole, huyo mke likua naye kwa muda gani kabla hujamuoa?? Dini imesema mathna kuanzia wake wawili mkuu dawa ya mwanamke jeuri muongezee mwenzie atanyooka
 
Yaan naumia sana kusikia neno kuachana, huyu dada anapitia kipindi kigumu sana,lakini kuachana kusiwe option jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine inabidi mito , Kama Kuna Vita why muendelee kuishi pamoja? Mpk mtu ajiue au auliwe na mwenza tuishie kusema kwanini kafanya hivyo si Bora wangeachana? Haya mambo ni magumu sana
 
Hahaha mwenyewe nimeshangaa, mazungumzo ni ya kimaendeleeo kabia hata kama hana muda angetega sikio pengine mood ingekuja akachangia mawazo kumjibu sina muda sjui anapata wapi huo ujasiri yawezekana kamlisha haswa kuna wanaume hawajibiwi kunya yan hata ile argh unafikirja mara mbili kuisema
Kabisa....sio bure asee Kuna kitu behind the scene

Umjibu mwenzako kunya hivo wee sio wanaume wa kwetu ninaowajua[emoji2958][emoji2958]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom