Mada maalum kwa wanandoa



Nimekupenda bure na ndio itakiwavyo
 
Sawa mkuu nimekuelewa......kiufupi huyo ni kiburi na namuonea huruma coz hawajui wanaume vizuri tabia yao....ngoja unase huko mizungukoni ataita maji mmmaaaaaa[emoji2958][emoji2958]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loh pole, huyo mke likua naye kwa muda gani kabla hujamuoa?? Dini imesema mathna kuanzia wake wawili mkuu dawa ya mwanamke jeuri muongezee mwenzie atanyooka
Kama jamaa anayoyasema ni kweli hamsingiziii...bidada kiburi kimemjaa sasa sijui anajiamini vipi?

Au kamlisha shuntama mwenzie[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unakumbushwa majukumu ya muhimu hivyo unalalamika? Ungempata ambaye anakuhimiza starehe nadhani ungeridhika loh
 
Hahaha mwenyewe nimeshangaa, mazungumzo ni ya kimaendeleeo kabia hata kama hana muda angetega sikio pengine mood ingekuja akachangia mawazo kumjibu sina muda sjui anapata wapi huo ujasiri yawezekana kamlisha haswa kuna wanaume hawajibiwi kunya yan hata ile argh unafikirja mara mbili kuisema
Kama jamaa anayoyasema ni kweli hamsingiziii...bidada kiburi kimemjaa sasa sijui anajiamini vipi?

Au kamlisha shuntama mwenzie[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah aisee yaani hizo ulizoziorodhesha hapo ndio kero za ndoa yako? [emoji23][emoji23][emoji23] Nicheke tu kwa kweli.
Halafu unaishi kwaajili ya dini utapata taabu sana hapa duniani.
 
Huyu nilikuwa nae miaka minne kabla ya ndoa,

Alikuwa akiishi kwao katika kuruka ruka nikampachika ujauzito ikabidi niende kujitambulisha kwao na kuanza taratibu za ndoa

Alipojifungua na mtoto alipofikisha mwaka mmoja na nusu tukafunga ndoa ndo tunaishi wote hivi sasa

Kipindi hicho chote alikuwa akikosea anakiri na tunayamaliza maishaa yanaendelea ila sasa jeuri imezidi, alikuwa akinijibu jeuri mbele ya wifi yake maana mwanzo nilikuwa nikimwambia wifi yake alikuwa anamtetea sasa siku aliponijibu hovyo mbele yake alimkataa (yaani Dada alipanic kaka yake nadharirishwa)
Mimi nikamwambia mwanamke,"JIANDAE KESHO KWENU" hapo akawa mpole ghafla na huruma juu

Kinachonigharimu huwa napend3a kutumia busara yaani huwa sijisikii vizuri kupiga mwanamke ila ikafikia kipindi uvumilivu unanishinda kama binadamu nampiga haswa kutokana na maneno yake ya kukera,
Loh pole, huyo mke likua naye kwa muda gani kabla hujamuoa?? Dini imesema mathna kuanzia wake wawili mkuu dawa ya mwanamke jeuri muongezee mwenzie atanyooka
 
Yaan naumia sana kusikia neno kuachana, huyu dada anapitia kipindi kigumu sana,lakini kuachana kusiwe option jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine inabidi mito , Kama Kuna Vita why muendelee kuishi pamoja? Mpk mtu ajiue au auliwe na mwenza tuishie kusema kwanini kafanya hivyo si Bora wangeachana? Haya mambo ni magumu sana
 
Kabisa....sio bure asee Kuna kitu behind the scene

Umjibu mwenzako kunya hivo wee sio wanaume wa kwetu ninaowajua[emoji2958][emoji2958]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…