Mada maalum kwa wanandoa

Niliwahi kuwa na jamaa flan, alikosea analia Mpk machozi yaani lazima umuonee huruma umsamehe, baada ya mwezi anarudia same thing [emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wasanii

hahahaha... mm nimechoka demi ww...ujue nilomwambia mpelelezi kuwa mie ni km nimejioa tu..najitunza kwa kila kitu😂😂 akasema usemayo na mume amekiri unahaki tu🙄
 
Ndio mana nikamwambia dawa ya mwanamke jeuri ni kumuongezea mwenzie, kuna mmoja baada ya kujifungua tu mapenzi yakahamia kwa mtoto, baba mtu hapatilizwi akiulizwa anajibu nimuangalie mtoto na wewe mtu mzima pia mume kamwambia dawa yako yachemka, siku tatu aakamtaarifu nataka kuoa mke wa pili sasa hivi adabu na heshima
Kabisa....sio bure asee Kuna kitu behind the scene

Umjibu mwenzako kunya hivo wee sio wanaume wa kwetu ninaowajua[emoji2958][emoji2958]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oops! Hiyo kiboko....sasa unakuta hawa ni wakristo haviruhusiwi hivoo mwee[emoji2955][emoji2955]

Waislam mna rahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ni shemeji yangu nahisi, sbbu mke wa mdogo wangu ndio anavyofanya wakikosana na bwana mdogo, alaf akishaondoka mimi ndio nasumbuliwa ongea na shemeji yako arudi, 🤣🤣 NAWAZA2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta hata cha kusema sina, ila unaweza mpa likizo kidogo kwa muda anbao wewe utaona unafaa akake kwao huku ukimhudumia mtoto wako akili itamkaa sawa, maybe ashajua umefika kwake huna cha kumfanya ndio mana labda pole sana
 
Naona watakua waislam mana alisema anafkiria kumpa talaka, kwa kweli japo dini imeruhusu lakini usiombe yakufike, sema utafanyaje na kaamua kufanya halali unakubali tu mnakua wawili loh
Oops! Hiyo kiboko....sasa unakuta hawa ni wakristo haviruhusiwi hivoo mwee[emoji2955][emoji2955]

Waislam mna rahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ni shemeji yangu nahisi, sbbu mke wa mdogo wangu ndio anavyofanya wakikosana na bwana mdogo, alaf akishaondoka mimi ndio nasumbuliwa ongea na shemeji yako arudi, [emoji1787][emoji1787] NAWAZA2

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Mimi[emoji3].
Mimi nikiondoka siongei na yoyote yule awe wifi, shemeji hata ndugu zangu siwaambii chochote. Nakaa karibu na mama mkwe bas analalamika why naondoka bila kuaga na kwanini simwambii matatizo yetu. Tukishapata narudi zangu na hakuna anayenirudisha wameshazoea uchizi wangu
 
Naona watakua waislam mana alisema anafkiria kumpa talaka, kwa kweli japo dini imeruhusu lakini usiombe yakufike, sema utafanyaje na kaamua kufanya halali unakubali tu mnakua wawili loh
Yaah ....nimekumbuka na kasema anasubiri ajifungue ampige chini[emoji849][emoji849]

Ila asidhani ni rahisi kama anavyowaza, japo bidada kiburi

Je kama ana uhakika na tunguli lake? Jamaa ajipange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahhaa nimecheka kama.mazuri, et ana uhakika na tunguri lake na sisi wanawake tukiamua letu hatuna ushauri,labda ni kadhia za ujauzito zinamfanya hivo avumilie aone

Nilitaka kusema hivoo...labda ni ujauzito pilika pilika na ninini

Ampe likizo tu ya uzazi...bidada ammiss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…