Huyu nilikuwa nae miaka minne kabla ya ndoa,
Alikuwa akiishi kwao katika kuruka ruka nikampachika ujauzito ikabidi niende kujitambulisha kwao na kuanza taratibu za ndoa
Alipojifungua na mtoto alipofikisha mwaka mmoja na nusu tukafunga ndoa ndo tunaishi wote hivi sasa
Kipindi hicho chote alikuwa akikosea anakiri na tunayamaliza maishaa yanaendelea ila sasa jeuri imezidi, alikuwa akinijibu jeuri mbele ya wifi yake maana mwanzo nilikuwa nikimwambia wifi yake alikuwa anamtetea sasa siku aliponijibu hovyo mbele yake alimkataa (yaani Dada alipanic kaka yake nadharirishwa)
Mimi nikamwambia mwanamke,"JIANDAE KESHO KWENU" hapo akawa mpole ghafla na huruma juu
Kinachonigharimu huwa napend3a kutumia busara yaani huwa sijisikii vizuri kupiga mwanamke ila ikafikia kipindi uvumilivu unanishinda kama binadamu nampiga haswa kutokana na maneno yake ya kukera,