Hamna bana, atajirekebisha[emoji21][emoji21][emoji21] niendelee na mateso!..
Tunaoana lini?Yaani
mesikia kulia ujue!
Nina 26 mkuu lakini niko na girl naona ni wa tofauti sana kati ya kote nilikopita yani mpaka nimetulia kuwa mwakani tutaanza process, lakini mnanitisha acha nile ujana kwanza. [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba kama umri wako ni bado 20+ usiowe ngoja ufike 30+ uko kidogo akili itakuwa inafikiria familia zaidi kuliko saivi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] mimi moyo wangu wakishenzi sana siwezagi kwa mnayoyasema nadhani yatanishinda tu.Hahahaha mkuu hili jambo la ndoa mara nyingi mtu hujifunza kwa vitendo, ingia ili nawe upate experiences zako, hata ukielezwa vp huwezi pata picha halisi mpaka utie maguu humo, mimi haya yote nilikuwa nayasikia lakini nikajipa moyo kuwa kwangu itakuwa tofauti, hahahahaha kilichonipata ndicho kilimtoa kanga manyoya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe!! Angalau umenipa moyo dada yangu.Hivi hujuagi kuwa ubaya ndo huwa unavuma kuliko wema? Wapo wenye ndoa njema kibao tu, sema wengi wao hawanaga muda hata wa kuandika. Na hata wakiandika kusifia ndoa zao, tunakuwa wa kwanza kuwaongelea mbovu, sijui ndoa yenu ina miaka mingapi blah blah blah. In short binadamu hatupendi habari nzuri
Nalipenda hilo ua lako..nilijaribu kulipanda kwangu likafaHahahaaa umenichekesha Witness eti kama manyaunyau wakati mwingine wanatuona sisi wakorofi lakini sio kweli
Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.
Nikiwa mbali ananitambua..nakuwa na confidence balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] namjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuu
Ahaaaaaahaaaaaaa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]....mkuu samahani hujaoa kajitafakari tena!
Au nyumba ya bidada? Kama mmepanga ndo analipa Kodi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] ili na mimi niwe muhanga wa kulalamika humu.Wasikukatishe tamaa, kaoe uje tuendeleze huu uzi [emoji23][emoji23]
Nalipa mim kodi, ila huwa sipendi kelele kelele kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kaalia uzinziz unadhani unafaidi, muda wa kusaga meno waja.Kila la kheri wenye ndoa.
Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.
Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], mim sina tatizo na flat screen, wala hilo halijawahi kuwa ishu hata kidgo mana nilichagua mwenyeweSasa ilikuaje ukaoa flat wakati huipendi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], mim sina tatizo na flat screen, wala hilo halijawahi kuwa ishu hata kidgo mana nilichagua mwenyewe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaaaa nimecheka hiyo strategy yako[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.
Nikiwa mbali ananitambua..nakuwa na confidence balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] namjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]...flat ni machame/ palestina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako Krait ....kafunguka we unaogopa na hiyo ID fake au wifi anaijua?
Sent using Jamii Forums mobile app