Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba kama umri wako ni bado 20+ usiowe ngoja ufike 30+ uko kidogo akili itakuwa inafikiria familia zaidi kuliko saivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina 26 mkuu lakini niko na girl naona ni wa tofauti sana kati ya kote nilikopita yani mpaka nimetulia kuwa mwakani tutaanza process, lakini mnanitisha acha nile ujana kwanza. [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha mkuu hili jambo la ndoa mara nyingi mtu hujifunza kwa vitendo, ingia ili nawe upate experiences zako, hata ukielezwa vp huwezi pata picha halisi mpaka utie maguu humo, mimi haya yote nilikuwa nayasikia lakini nikajipa moyo kuwa kwangu itakuwa tofauti, hahahahaha kilichonipata ndicho kilimtoa kanga manyoya


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3] mimi moyo wangu wakishenzi sana siwezagi kwa mnayoyasema nadhani yatanishinda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hujuagi kuwa ubaya ndo huwa unavuma kuliko wema? Wapo wenye ndoa njema kibao tu, sema wengi wao hawanaga muda hata wa kuandika. Na hata wakiandika kusifia ndoa zao, tunakuwa wa kwanza kuwaongelea mbovu, sijui ndoa yenu ina miaka mingapi blah blah blah. In short binadamu hatupendi habari nzuri
Kumbe!! Angalau umenipa moyo dada yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.
Nikiwa mbali ananitambua..nakuwa na confidence balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] namjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuu

Aisee, so Demi unataka nifundisha nin?? Acha niwe mpole tu kukwepa mengi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila la kheri wenye ndoa.

Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.

Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
Kaalia uzinziz unadhani unafaidi, muda wa kusaga meno waja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.
Nikiwa mbali ananitambua..nakuwa na confidence balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] namjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuu
Hahaaaaa nimecheka hiyo strategy yako[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom