Mada maalum kwa wanandoa

Kweli kabisa dada,.manake wengine humu wanachukulia wanandoa kuachana ni rahisi tu kama boyfriend na girlfriend. Halafu watoto sasa watakavyoathirika kisaikolojia na kimalezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo kwenye ugomvi unadhani hawaathiriki kisaikolojia?!
Kuna mtoto kajinyonga sababu ya maugomvi ya baba na mama! Sasa lipi bora?!

Watoto wanakuwa wakiwa na chuki mioyoni mwao sababu ya kushuhudia ugomvi wa mara kwa mara! Unadhani wao hawajui?!
 
Total Desperate, hauna jinsi, ndoa haikwepeki aisee!
 
Kila mtu anae, kuna wale visible( one you were in the relationship with) na Invisible (Alikuwa anakupenda bila kukuambia mwishowe akakuacha pia bila kukuambia)


Sent from my iPhone using JamiiForums
Aiseee
Nyie wanandoa mna mambo!
 
Alishaoa nisije muharibia, hlf nilivyo na wivu naanzaje kukupa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kaoa kumbe, wivu wa nini eti! Nipe tuu nimsalimie
 
Hahaha yaaani wewe hapana aiseee
Uombe na kufunga! Ndo silaha kuu ya mwanamke
Hallelujah mbona mm ndio zangu hizo na wewe shahidi labda useme kingine mpendwa wangu ktk bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hallelujah mbona mm ndio zangu hizo na wewe shahidi labda use me kingine mpendwa wangu ktk bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We shida yako moja tuu..
Heineken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…