Mada maalum kwa wanandoa

Sahihi kabisa, “UVUMILIVU” [emoji848][emoji848]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiko ndio kila kitu katika ndoa vingine mmojawapo lazima ajishushe sio kila mtu ni mbabe kwa mwenzie, msamaha pia mmekoseana ombaneni msamaha mambo yaishe mmoja ajishushe tu

Cha mwisho kabisa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo Mungu ndio kila kitu tusiache maombi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…